Binti wa miaka ishirini amekubali niweke bili na malipo ni siku za matumizi.

mwenyewe anajiona mjaaanja ameopoa kumbe ni kitoto cha chuo, boom hana likizo... unakuta mko ka 16 kawapa same huduma
 
Mwanamke mzuri Sana,
Yuko very straight and systematic[emoji106]
 
Yohana 21:25 "....... Kama yote yangeliandikwa, nadhani hata ulimwengu wote usingekuwa na nafasi ya kutosha kuweka vitabu vyote ambavyo vingeandikwa. Amen."
Unataka kusemaje?
Kwamba mbinguni moto upo ila ndo haijaandikwa popote kwasababu huku duniani nafasi ya kuweka vitabu imejaa?
 
Sio kila kitu kimeandikwa...Kwahyo usibishe kuwa so and so hakipo kisa tu hakijaandikwa.
Huenda Mbinguni moto upo au haupo...
Anaejua ni aliyefika.
 
Kwahiyo unajitungia tu halafu utegemee watu wakuamini?

Imeandikwa kuwa moto upo jehanam na sio mbinguni. Kwa Mungu mbinguni hakuna moto mkuu....ni full miito ya pombe na pisi kali 72 kwa kila kidume.
 
Sasa mkuu wangeandika kila kilichopo mbinguni hivo vitabu vingetosha?
Huenda ukitoka kula pisi kali hizo 72 Unaenda kuungua kidogo halafu unarudi kujipoza kwenye mito ya pombe😀
 
Moto upo kwa shetani na shetani hayupo mbinguni.
 
Hii mbinu nzur sana,itabid na mimi niitumie ila mim nitaishi nae kabisa ili kuepusha kugongewa
 
Back
Top Bottom