Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kapelekee moto mzee baba usiwasikilize wenye maneno ya kukatisha tamaa
Kazi ya mbususu ni kuchakatwa
Kazi ya mbususu ni kuchakatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moto hauko mbinguni uko eneo lingine linaitwa jehanam, kuzimu huko kuna ziwa linawaka moto na kiberiti or burning sulphuracha unzinzi kuna moto huko mbinguni dogo...
Nakazia[emoji28]Nyege tumeumbiwa binadamu, aliyeziweka kwanza aziondoe ndo aje kutuambia habari za moto
Nmemkumbuka Shehe kipozeo[emoji1787]Mbinguni kuna mito ya pombe na wanawake mizigo ya maana
Unataka kusemaje?Yohana 21:25 "....... Kama yote yangeliandikwa, nadhani hata ulimwengu wote usingekuwa na nafasi ya kutosha kuweka vitabu vyote ambavyo vingeandikwa. Amen."
Sio kila kitu kimeandikwa...Kwahyo usibishe kuwa so and so hakipo kisa tu hakijaandikwa.Unataka kusemaje?
Kwamba mbinguni moto upo ila ndo haijaandikwa popote kwasababu huku duniani nafasi ya kuweka vitabu imejaa?
Kwahiyo unajitungia tu halafu utegemee watu wakuamini?Sio kila kitu kimeandikwa...Kwahyo usibishe kuwa so and so hakipo kisa tu hakijaandikwa.
Huenda Mbinguni moto upo au haupo...
Anaejua ni aliyefika.
Sasa mkuu wangeandika kila kilichopo mbinguni hivo vitabu vingetosha?Kwahiyo unajitungia tu halafu utegemee watu wakuamini?
Imeandikwa kuwa moto upo jehanam na sio mbinguni. Kwa Mungu mbinguni hakuna moto mkuu....ni full miito ya pombe na pisi kali 72 kwa kila kidume.
Pm me pleas babeHa haaa hii imekaa vizuri sana. Ngoja nichakarike maana maisha yenyewe mafupi
Moto upo kwa shetani na shetani hayupo mbinguni.Sasa mkuu wangeandika kila kilichopo mbinguni hivo vitabu vingetosha?
Huenda ukitoka kula pisi kali hizo 72 Unaenda kuungua kidogo halafu unarudi kujipoza kwenye mito ya pombe😀
Ili tuchakarike wote sioPm me pleas babe
Mbinguni ni kwa nani?Moto upo kwa shetani na shetani hayupo mbinguni.
Tukisema mtu kaenda mbinguni tunamaanisha ameenda sehemu nzuri yenye amani isiyokuwa na mateso.Mbinguni ni kwa nani?
Umesema Motoni ni kwa shetani...Na mbingu ni makazi ya nani?Tukisema mtu kaenda mbinguni tunamaanisha amendable sehemu nzuri yenye amani isiyokuwa na mateso.
Makazi ya MunguUmesema Motoni ni kwa shetani...Na mbingu ni makazi ya nani?