Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi huwa nikisikia mlokole sitaki mazoea nae
Nakaa nao mbali
Ofisini tuna kundi la waumini wa clear malisa yani wamedata wale watu huwa nawatazama mambo yao nasema hiiii in magus voice
Kwanza wanatuona sisi ambao hatusali nao kama mapepo wadhambi sana aisee
 
Ha ha ha wanatuona sisi wadhambi!

Na huu ndo uhalisia asee kujiona special society while in reality wana majanga balaa[emoji848]
 

[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ile nyingine alijifanya Mungu kamtumia picha ya mtu aliekuwa anamtolea utabiri,picha ya kwanza alionyesha fresh Picha ya pili si ikabidi aswipe ili ije ndio kimbembe
Hio ya moto na kutembea hewani zote fake
Kumbe na wewe huwa unafatilia jinsi anavyo jiaibisha

Kuna jamaa anaitwa Jay Israël anaelezea mambo mengi ya hawa manabii feki since alifanya nao kazi I wish hawa walokole wangepata nafasi ya kumsikiliza
Too bad wapo kwenye mtego hawawezi kuelewa Kwa sasa
 
Kumbeee
 
Huwa wanaiba kuna mganga alikuwa rafiki yangu walipanga wakaibe bank kwa uchawi, walipambana haswa na nguvu ya kule walifanikiwa kupata laki moja tu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sina mbavu lol
 
Walokole wajinga ni wale hawasomi neno la Mungu na biblia na wao hupenda miujiza na kuzunguka kwa manabii uchwara, kutwa kuombea wengine mabaya waharibikiwe, dah ofisini nikikumbuka nilivochongewa na mlokole jina Sina hamu
 
Huyu bushiri alikuwa kinara wa makafara ya ngono alikuwa anabadilisha warembo ka nguo ikiwemo na Hilo kanisa lake la Tanzania, na wadada walikuwa wanamkimbilia mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…