Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Unaambiwa ukitaja tu hivo utapigwa laana kali

Mi ndo jana nimeambiwa hivo eti tayari nimeshapigwa laana[emoji16]

Ila walokole mmh

Hawa manabii wengi ni feki ,ebu angalia lusekelo (Mnywa gongo aka konyagi) , Gwajima(Mla kondoo) ,Mwingira (Mla wake za watu) ,Mwamposa (Mmachinga muuza maji,mafuta) etc
 
bendera ya israel inahiyo nyota
hiyo imekaaje mtumishi?
 
Hata baadhi ya mitume walifufua watu, lakini nao walikuja kufa... Sio issue mpya na wala haimfanyi mtu asiwe mtumishi wa Mungu. Simtetei Bushiri kama ni mtumishi wa Mungu au la, anayejua ni yule anayedai anamtumikia.
Mungu katupa vitabu vya kutusaidia kuwatambua manabii wakweli na waongo.Km ni msomaji na mwelewa mzuri wa Biblia utaujua utapeli wa Bushiri kupitia matendo yake kwa urahisi kabisa.

Mfano mdogo ni utapeli alioufanya S.Africa kwa waumini wake kupitia utapeli wa FOREX.Ana kesi nyingi za kuzulumu watu pesa, madini na uzalilishaji wa kingono,ndio maana amekimbilia kwao Malawi.
 
bendera ya israel inahiyo nyota
hiyo imekaaje mtumishi?
Ni vitu viwili tofauti
Bendera ya Israel pembe moja ndio imepoint juu kuonesha utukufu wa Mungu

Bendera ya shetani imepinduliwa na point mbili ndio ziko juu kuonesha ufalme wa shetani
 

Attachments

  • baphomet-flag-std.jpg
    29 KB · Views: 4
  • 1200px-Flag_of_Israel.svg.jpg
    20.1 KB · Views: 4
  • 1200px-The_Satanic_Temple.svg.jpg
    9.2 KB · Views: 4
  • 1200px-The_Satanic_Temple.svg.jpg
    9.2 KB · Views: 3
Shida kuna watu wakiokoka wanajitoa ufahamu kabisa wa kuwahoji watu wanaojiita watumishi wa Mungu.Ndio maana jamaa wanatumia hiyo advantage kuwapiga kweli kweli! Matendo ya Bushiri yanaonyesha wazi kuwa ni tapeli mkubwa.
 
Alikuwa na kesi kwaiyo nadhani alishindwa kwaiyo nahis mamlaka ikaamua kuuza mali zake kufidia ila sina uhakika ila magari yalibebwa yote kitoka nyumbani kwake
Ok

Na alivyoflee to malawi na kule alidakwa akawekwa ndani badae akaachiwa!

Mali zake nyingi ziko confiscated kwa sababu ya money laundering na utapeli
 
Inaweza kuwa hivyo. Ana watoto wengine?
Kwa mke wake wa ndoa amebaki na mtoto mmoja wa kike,ila kuna allegations kuwa jamaa ana watoto nje zaidi ya 4 alizaa na waumini wake na alishapelekwa mahakamani kwa kudaiwa pesa za matunzo. Ingia Youtube channel ya Solomon's temple, search Other Bushiri's children.
 
Hivi hatakiwi tena kurudi SA?
 
Kwa mke wake wa ndoa kabaki na mtoto mmoja wa kike,japo inaelezwa ana watoto wengine nje kazaa na waumini wake.Jamaa muhuni muhuni sana.
Hii ya kuwala waumini ni mojawapo ya makafara ya kuvuta waumini wengi zaidi..manii ndio hutumika zaidi, sasa sometimes hujisahau kikaumana
 
Akimaliza huyo, atawatoa na wale wa mechi za nje maana anao kibao huko!

Kijamaa janja janja sana
Yuko kwenye agano la damu,hivyo mtoto yoyote atokanaye na damu yake,sio wake,ni wa hao waliompatia utajiri
 
Hivi hatakiwi tena kurudi SA?
Kesi inayoendelea sasa Malawi alikokimbilia ni kujadili ombi la Mahakama ya SA kutaka jamaa arudishwe ( Extradited) nchini S.Africa ili akakabiliwe na kesi za utapeli zinamuandama ikiwemo ya kutoroka baada ya kupewa dhamana.Ikumbukwe jamaa alikuwa tayari kawekwa lopango yeye na mke wake.

Lakini alipopewa dhamana kwa masharti ya kutosafiri nje ya mji wa Johannesburg,Jamaa aliweza kutorokea kwao Malawi kimafia bila ya pasipoti wala viza. Kwa hiyo Bushiri yupo kwenye wakati mgumu sana. Huyo Bushiri anayejiita nabii na mtumishi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…