Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

Unaambiwa ukitaja tu hivo utapigwa laana kali

Mi ndo jana nimeambiwa hivo eti tayari nimeshapigwa laana[emoji16]

Ila walokole mmh
Wewe huoni kama una laana kwa kuongea vitu usivyo na uhakika navyo,kama unasoma biblia kasome kisa cha Daudi na Ayubu waliofiwa na watoto halafu utuambie walikuwa watumishi wa Mungu au la na je hawa nao walitoa kafara au yalikuwa majaribu yanayowakumba binadamu wote.
 
Ndio maana nasema inategemea na mtu anayatumia vipi kuna olive oil za kawaida na zingine zinakuwa zimeombewa kwa ajili ya muktadha maalum either kwa maombezi ama wwngine ndio wanafanyia mambo yao
Ndio ulikua usanii mtupu mi nikaenda pale mbele naona kibakuli, kanipaka hapo usoni mafuta ya upako nikachovya kidole nikaonja
Ilikua oliver oil ya kawaida tu,kajaribu kusukuma nidondoke wapi nikawa ngangari, mpk mwisho akaita mwingine
 
Nasema ni ujinga wao, kama hao wazee ni wacha Mungu wa kweli walishindwaje kung'amua kuwa jamaa ni mpigaji tu?
Haihitaji digrii kuutambua uongo wa watu hawa.
Ukipigwa jilaumu mwenyewe.
Mungu hatupi vitu vinavyofanana.Ndio maana kuna mfupi, mrefu,mweusi, mweupe,mnene, mwembamba,wenye akili nyingi na vilaza,wote ni wa Mungu.

Sisi tuliopewa uwezo wa kuwajua na kuwatambua hawa wahuni hatuna budi kuwasaidia wengine badala ya kuwacheka na kuwaacha waumie. Kwani hata sisi kuna sehemu hatujakamilika na tunahitaji msaada wao. Hakuna aliyekamilika [emoji817]%
 
Ndio ulikua usanii mtupu mi nikaenda pale mbele naona kibakuli, kanipaka hapo usoni mafuta ya upako nikachovya kidole nikaonja
Ilikua oliver oil ya kawaida tu,kajaribu kusukuma nidondoke wapi nikawa ngangari, mpk mwisho akaita mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ivi kumbe yanaliwaga yale mafuta?
 
Hata baadhi ya mitume walifufua watu, lakini nao walikuja kufa... Sio issue mpya na wala haimfanyi mtu asiwe mtumishi wa Mungu. Simtetei Bushiri kama ni mtumishi wa Mungu au la, anayejua ni yule anayedai anamtumikia.
sisi hatupingi yeye kuja kufa tunaomba amfufue kijana wake yeye kufa ni jambo jingine kwanza amfufue kijana maana amekuwa akijinasibu kufufua watu
 
We ndio una laana mlokole feki...jinga kabisa

Endelea kuwa msukule
 
Daaah Siyo story za April Fool kweli!!
Kama kweli RIP binti Bushiri
 
Hawa umbwa wanatoaga kafara sana maamae zao inawezekana sasa ni zamu ya kuingia ndani mwake aanze kula ndugu wa karibu baade mke wazazi etc baada ya hapo anapotea na yeye, hawajawahi kuwa na mwisho mwema hawa manabii saccos
 

Walokole washakuwa brain wash
 
Yeah hypotize ni balaa. Nakumbuka Movie Get Out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…