Binti yangu, Kamwe usikubali kuishi na mwanaume anayekupiga au kukutukana matusi ya nguoni Kamwe!

Mnaongea kirahisi kwa sababu hampo katika ndoa.
Halafu talaka sio rahisi kama mnavyodhani
 

Upo sahihi kabisa.
Kama mtu unaona kabisa hakutii, hakusikilizi, hakuheshimu, anakudharau, anamdomo yaani kiufupi hamwendani si muachane kwa Amani tuu
 
Mnaongea kirahisi kwa sababu hampo katika ndoa.
Halafu talaka sio rahisi kama mnavyodhani
Watu wa miaka hii wengi wadhaifu ukimpiga kidogo TU ashakufia, Sasa kwanini uende jela kisa kiumbe ulichokutana nacho ukubwani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…