Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Hivi ndivyo nilivyoona hata kwa dada zangu, waliondoka walipopata ndoa,nakumbuka siku namwambia mama yangu nataka kua na chumba changu nje ya nyumbani nilijibiwa hivi hapa nyumbani hauko huru?? huli?? hulali?? unakwenda unakotaka uliwahi kuzuiwa?? uhuru gani mwanangu unaoutaka zaidi ya huo?? hapa kwangu utatoka ukiwa either umeolewa au umekufa ukiwa katika hali ya maiti
na ndio siku nilipogairi huo upuuzi.
Ikifika zamu yako, utatumia maneno yale yale kumkatalia binti yako kuhama nyumbani kwako.hapana mkuu, nimeolewa.
Dunia imechange, binti wa 24 anaonekana mtu mzima,Mbona ni mtu mzima au mpaka afikishe 35
Ana 24 anataka kupanga πππkuna mimi huku wala sifikiriiiAnayo 24
Vitu vya mzazi kuhudumia binti anavipata! Sasa tatizo nikuacha nyumba et anataka akapange inanitia hasira sanaUnampa mahitaji yote?
Kuna vitu anahitaji kwako anavikosa
Kwanini,wanaume tunaogopaga wanawake waliopanga wenyeweAkipanga mwenyewe Wala haoelewi
Wakapange wao au sio πAna 24 anataka kupanga πππkuna mimi huku wala sifikiriii
Sasa huyo ni mtoto?Dunia imechange, binti wa 24 anaonekana mtu mzima,
Bado anahitaji muongozo wa wazazi wake
hata sio uongo, na ndio tunagangaika hapa kuwataftia maisha mazuri siku akikasirika apande upstairs huku akiniambia i want to be alone sio hayo maneno yakuhamaIkifika zamu yako, utatumia maneno yale yale kumkatalia binti yako kuhama nyumbani kwako.
Amandla...
Apande upstairs kujirusha au apande kwa sababu maisha ni mazuri anaishi gorofani? πhata sio uongo, na ndio tunagangaika hapa kuwataftia maisha mazuri siku akikasirika apande upstairs huku akiniambia i want to be alone sio hayo maneno yakuhama
Waende tu kwa kweliWakapange wao au sio π
ππ umenishinda tabiaWaende tu kwa kweli
maisha n mazuri tupo ghorofani sio kujirusha jaman ππApande upstairs kujirusha au apande kwa sababu maisha ni mazuri anaishi gorofani? π
Huwezi kumpa kila kitu...chakula, mavazi, malazi na pesa sio kila kitu.Habari wadu, Kama nilivyoaandika katika title nikuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE! hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa je kunaweza kukawa na kitu nyuma ya pazia?
Mpaka niolewe ndo ntaondoka nyumbani au nipate kazi mkoaniππ umenishinda tabia