Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ndioKama ulikua mchafuzi wa watoto wa watu,pole sana.wanaume tunavutiwa sana na maziwa yaliyotuna.haijalishi kabeba mtoto au mkubwa
Kama unaamini kuwa Maziwa makubwa yanamfanya mtu anakua mbaya pole pengine hujakutana na wenye Maziwa na wanaoweza kuyavisha yakakaa poa.
Tumia nafasi hiyo kumfanya ajione kuwa ni special na umfanye ajiamini kwa Hali hiyo Mana ni maumbile yake.
Akiwa na confidence tu inatisha kwanza nyie Kama familia muhakikishe haoni utofauti hasa pale Rafiki na majirani wanapo mtania
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno.
Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.
Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa siri shangazi yake anichunguzie huyu binti na majibu yakawa kama awali, hajaanza. Kitabia pia ukimchunguza, ni mtoto kabisa....haonekani kuwa anajua lolote na jitihaxa zangu za kumfuatilia zimeishia patupu.....ni nyumbani, shule na watoto wenzie, nyumbani tena!
Namhurumia binti yangu;
1. Atakuwa kichekesho cha namna gani kwa dunia hii yenye kila aina ya utani kwa wenye ulemavu?
2. Sijui ataathilika vp kisaikolojia atakapopata akili rasmi sasa na kujijua kuwa hayupo sawa!
Namsaidiaje huyu wadau?!!!!
Ahsanteni
Baba unachunguza maumbile ya mwanao halafu umeona maziwa ya binti yamelala!! Nakuheshimu naogopa kuendelea kuandikaMada hapo juu yahusika.