Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Hajazaa yeye, wamezaa wanawake wake.ssAcha kuzaa kuzaa ovyo alafu jitahidi kujikita kwenye kazi tafuta kazi ya ziada itayokukeep bize zaidi. Haya masuala ya kuzaa huku mara kule usipokuwa stable utafilisika sana, heri ujipange maisha yako uje uchukue wanao
Asante dada. Mungu akuepushe na kupata watoto kama unadhani watoto ni chanzo cha kuanguka kwa biasharaAcha kuzaa kuzaa ovyo alafu jitahidi kujikita kwenye kazi tafuta kazi ya ziada itayokukeep bize zaidi. Haya masuala ya kuzaa huku mara kule usipokuwa stable utafilisika sana, heri ujipange maisha yako uje uchukue wanao
Nifanyeje maana sielewiUsipoteze tumaini wala furaha jipe moyo, jitie ujasiri , utatoboa utashinda wala usikate tamaa ndugu
Mkuu Mimi pia birthday yangu inakaribia na ninapitia same situation, Madeni mengi sana, Nimepoteza mali nyingi, hapa nakaribia kupoteza nyumba ninayoishi kama sio leo ni kesho, Maana leo ndio ilikuwa mwisho..Sina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena...
Dah dada nilikuwa nakutafuta sana afadhali nimekuona. mambo?Acha kuzaa kuzaa ovyo alafu jitahidi kujikita kwenye kazi tafuta kazi ya ziada itayokukeep bize zaidi. Haya masuala ya kuzaa huku mara kule usipokuwa stable utafilisika sana, heri ujipange maisha yako uje uchukue wanao
Kuna biashara nyingi nilikuwa nafanya. Kuna mkopo nilichukua kwa ajili ya kujenga nyumba za biashara, collateral ikawa ni hizo nyumba.Sometimes kila kitu kina stuck.
Ulikopeshekaje benk zote ? kwani huwa hakina database ?
Asante sana mkuuDah pole mkuu
Kama ni mkristo sali omba Mungu kwa imani yako atakujibuNifanyeje maana sielewi
Kwa kweli mtu anaweza akatucheka na kutuona hatuna akili, sometimes ni upepo tu umebadili uelekeoMkuu Mimi pia birthday yangu inakaribia na ninapitia same situation, Madeni mengi sana, Nimepoteza mali nyingi, hapa nakaribia kupoteza nyumba ninayoishi kama sio leo ni kesho, Maana leo ndio ilikuwa mwisho..
Daah! Sijui hata nafanyaje.. Kwa kweli nimechoka sana na sijui nafanya nini ,
Haya ni matusi sasa, kwa hiyo mimi ni shoga?Siku utakayokua mwanaume kamili hautakumbuka hata birthday yako
Sina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena...
Bangi itabisaidiaje?Vuta bangi
Sali pia