Birthday yangu inakaribia, sina amani wala furaha, na sifurahii kitu

Birthday yangu inakaribia, sina amani wala furaha, na sifurahii kitu

Siku utakayokua mwanaume kamili hautakumbuka hata birthday yako
Khaaa!
20230212_193459.jpg
 
Mkuu Mimi pia birthday yangu inakaribia na ninapitia same situation, Madeni mengi sana, Nimepoteza mali nyingi, hapa nakaribia kupoteza nyumba ninayoishi kama sio leo ni kesho, Maana leo ndio ilikuwa mwisho..

Daah! Sijui hata nafanyaje.. Kwa kweli nimechoka sana na sijui nafanya nini ,
Samahani natoka nje ya mada.Ivi hili suala la mwanaume mzima kusema Bethdei yangu ivi hua mnakua sirias kweli?
Yaani kabisa unapata mda wa kukumbuka siku yako ya kuzaliwa?
Kweli wenzetu maisha hayawapi shida kabisa[emoji849]
 
Samahani natoka nje ya mada.Ivi hili suala la mwanaume mzima kusema Bethdei yangu ivi hua mnakua sirias kweli?
Yaani kabisa unapata mda wa kukumbuka siku yako ya kuzaliwa?
Kweli wenzetu maisha hayawapi shida kabisa[emoji849]
Birthday sio sherehe ni ukumbusho kukushtua tu, bro unazeeka umefanya nini hadi sasa?
 
Ndo umwagiwe na maji ? Mbaya zaidi umetulia tuliii mwanaume mzima!!
Hizi tamaduni za kimagharibi tuwaachie wenyewe [emoji57]
At my age of 49 yrs sijawahi kumwagiwa maji. Wala kamwe haitokuja kutokea. Nyie kizazi cha mashoga mnamwagiwa mwagiwa kila kitu
 
Kiranja Mkuu, situation unayoipitia ni sehemu tu ya ushindi iwapo hali hiyo utaanza kuiona kama chachu ya mabadiliko chanya na si kama njia ya kaburini.

Kwa namna ulivyo andika, inaonekana umekata sana tamaa, lakini napenda tu kukujulisha kwamba kuna tumaini tena.

View attachment 2541379
Huu msemo una ukweli mkubwa ndani ya maisha yangu. Naweza sema hili si la kulipuuza huu wakati unaopitia muweke Mungu mbele, unatakiwa kumuaminisha Mungu kuwa hakuwa wa kutatua hii changamoto ninayopitia zaidi yako Mungu. Hakika atakupigania na utashinda. Ila ukiyumba tu kufanya maamuzi yako mwenyewe umekwisha. Mungu akakutendee miujiza na yakawe mapito tu.
 
Daa binafsi naanza kuhisi kitu siyo cha kawaida(kizuri/kibaya) kwa sisi tuliozaliwa machi&Aprl.

Mi pia nilizaliwa 31/03/....
lakini katika docs zangu huwa natumia 01/04/....(naomba pia mnishauri kama ni mbaya kiroho/kidunia,,,

Basi bwana,pia binafsi napitia kipindi kigumu kama mtoa mada anavyopitia,
Nikekopa kote,
Nimeuza vyote ili kujinusuru lakin bado wapi!
Zaidi ninadeni jingime baya mno!
Naomba wataalam tuelezeni,nini hiki jamani!!
Hata nimeshindwa kihudumia watoto,mama yao kawaficha anasema mpaka nikilipa gharama zake ndo ananiruhusu kuwaona
Huyo mama yake naye wanaroho ngumu.yan umepitia mtatizo hatak uwone watoto .mmmh.aulimnyanyasa b4
 
Nenda kwa mwamposa kwanza
Utuletee ushuhuda maana kila siku watu wanatoa ushuhuda na hakuna mmoja namfahamu
 
Back
Top Bottom