Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,815
Ku calm your mindBangi itabisaidiaje?
Na kuongeza uwezo wa kufikiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ku calm your mindBangi itabisaidiaje?
Unaweza kuwa mvulana badoHaya ni matusi sasa, kwa hiyo mimi ni shoga?
Bangi inaongezaje upeo wa kufikiria?Ku calm your mind
Na kuongeza uwezo wa kufikiri
Ulitangatanga mno, biashara ukigeuza mgongo tu umepigwa.Kuna biashara nyingi nilikuwa nafanya. Kuna mkopo nilichukua kwa ajili ya kujenga nyumba za biashara, collateral ikawa ni hizo nyumba. Kuna mkopo mwingine nilikopa against FDR, FDR zikawa ndio collateral. Pia kuna mkopo mwingine niliuchukua shamba la mbao ndio lika secure mkopo huo.
Sawa mkuuPole Sana, Ila mkopo ni kifungo ,debt is good but lazima iwe sustainable, principle kubwa kila mtu anafaa kujifunza ni kuwa usikope kupita kiasi. Tujifunze kujua net worth yako na income .
Never take on a loan ambayo inapita 20% of both your net worth and income , hapa Incase mambo yakienda mrama ,bado uko fiscal space yakulipa Hilo deni .
My advice tafuta rafiki au wakili akusaidie na debt restructuring as quick as possible .
Otherwise utapoteza assets zote ambazo uliweka collateral
Kukopa sio tabu ila tatizo watu mnakopa mikopo ya Riba tena riba kubwa hatariiiSina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena.
Nadaiwa NMB, NBC na Benki ya Maendeleo Bank Bank ya kanisa.
Nina msongo mkali sana wa mawazo maana mpaka sasa malI zangu zimepotea kwa kuziweka kama collateral kwenye taasisi mbalimbali za kifedha.
Kila siku iendayo mbele, napoteza tumaini na furaha.
Tusi lingine hilo. Nina watoto wawili ni uvuklana wangu ni upi?Unaweza kuwa mvulana bado
Sawa mkuuKukopa sio tabu ila tatizo watu mnakopa mikopo ya Riba tena riba kubwa hatariii
Mm kwa imani yangu Muislamu aisee Mungu aniepushe na kuja kuchukua mikopo ya riba katika maisha yangu kwani Mungu wetu ameshatuahidi wala Riba wote wataangukia pabaya mnoo na hili linajionesha kwako mtoa mada
Mikopo ya Riba haifaii ni kuumizana sio kusaidiana
Achana na hao wenye comments za kukebei just ignore them chukua ushauri mzuri unaopewa mkuu.Tusi lingine hilo. Nina watoto wawili ni uvuklana wangu ni upi?
Sawq brotherAchana hao wenye comments za kukebei just ignore them chukua ushauri mzuri unaopewa mkuu.
Sawa. Pole sana kwa changamoto unayopitiaSawq brother
Hata wavulana huwa wanapata watotoTusi lingine hilo. Nina watoto wawili ni uvuklana wangu ni upi?
Are u Teacher dawa ya deni ni kulipaSina mke licha ya kwamba nina watoto wawili kwa mama wawili. Nina madeni kila idara, biashara haziendi kabisa na sikopesheki tena.
Nadaiwa NMB, NBC na Benki ya Maendeleo Bank Bank ya kanisa.
Nina msongo mkali sana wa mawazo maana mpaka sasa malI zangu zimepotea kwa kuziweka kama collateral kwenye taasisi mbalimbali za kifedha.
Kila siku iendayo mbele, napoteza tumaini na furaha.
Sasa ikawaje?Kuna biashara nyingi nilikuwa nafanya. Kuna mkopo nilichukua kwa ajili ya kujenga nyumba za biashara, collateral ikawa ni hizo nyumba. Kuna mkopo mwingine nilikopa against FDR, FDR zikawa ndio collateral. Pia kuna mkopo mwingine niliuchukua shamba la mbao ndio lika secure mkopo huo.