Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Mtt wa kiume unawazaje birthday huku una madeni mengi ivo jichunge usije kuwa papai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awaza uchawi na ushirikina tuDaa binafsi naanza kuhisi kitu siyo cha kawaida(kizuri/kibaya) kwa sisi tuliozaliwa machi&Aprl.
Mi pia nilizaliwa 31/03/....
lakini katika docs zangu huwa natumia 01/04/....(naomba pia mnishauri kama ni mbaya kiroho/kidunia,,,
Basi bwana,pia binafsi napitia kipindi kigumu kama mtoa mada anavyopitia,
Nikekopa kote,
Nimeuza vyote ili kujinusuru lakin bado wapi!
Zaidi ninadeni jingime baya mno!
Naomba wataalam tuelezeni,nini hiki jamani!!
Hata nimeshindwa kihudumia watoto,mama yao kawaficha anasema mpaka nikilipa gharama zake ndo ananiruhusu kuwaona
Kwamba mliozaliwa miezi hiyo tu ndio mnapitia changamoto za madeni???Daa binafsi naanza kuhisi kitu siyo cha kawaida(kizuri/kibaya) kwa sisi tuliozaliwa machi&Aprl.
Mi pia nilizaliwa 31/03/....
lakini katika docs zangu huwa natumia 01/04/....(naomba pia mnishauri kama ni mbaya kiroho/kidunia,,,
Basi bwana,pia binafsi napitia kipindi kigumu kama mtoa mada anavyopitia,
Nikekopa kote,
Nimeuza vyote ili kujinusuru lakin bado wapi!
Zaidi ninadeni jingime baya mno!
Naomba wataalam tuelezeni,nini hiki jamani!!
Hata nimeshindwa kihudumia watoto,mama yao kawaficha anasema mpaka nikilipa gharama zake ndo ananiruhusu kuwaona
Unaambiwa ukweli unakuja na laana za kindezi nyie ndio mnatujazia watoto wa mtaani kwa tabia zenu za kuzaa ovyo.Asante dada. Mungu akuepushe na kupata watoto kama unadhani watoto ni chanzo cha kuanguka kwa biashara
Hiyo ni title tu ili kuvutia wasomaji watake kujua ndani kuna nini, na ndio maana ulivyofungua ndani hakuna maelezo ya birthday bali kile anachopitia,Ingekua mie ndo ww nisingekumbuka leo ni besidei yangu au leo ni pasaka.
Zaidi ya shoga. Mwanaume mwenye ndevu pamoja na misuli iliyokaza mikononi unaanzaje kuongelea birthday? Una shidaa mahalaHaya ni matusi sasa, kwa hiyo mimi ni shoga?
Dah p0le sana ndugu....!!!Hii kup0teza nyumba ndi0 Kitu yauma sana sana sana..Viatu vyak0 havivaliki kaka...Mkuu Mimi pia birthday yangu inakaribia na ninapitia same situation, Madeni mengi sana, Nimepoteza mali nyingi, hapa nakaribia kupoteza nyumba ninayoishi kama sio leo ni kesho, Maana leo ndio ilikuwa mwisho..
Daah! Sijui hata nafanyaje.. Kwa kweli nimechoka sana na sijui nafanya nini ,
Hajazaa yeye, wamezaa wanawake wake.ss
Wewe ni mtoto, hujakutana na mitihani ya maisha bado. Birthday sio sherehe, Birthday ni kikumbushi cha kukumbusha kwamba unazidi kuzeeka, je umefanya nini?Zaidi ya shoga. Mwanaume mwenye ndevu pamoja na misuli iliyokaza mikononi unaanzaje kuongelea birthday? Una shidaa mahala
Watoto wawili ni kuzaa hovyo? Unajua plan yangu ya maisha? Nyie mahanithi na wagumba ulemavu wenu unatuletea kero tuUnaambiwa ukweli unakuja na laana za kindezi nyie ndio mnatujazia watoto wa mtaani kwa tabia zenu za kuzaa ovyo.