Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Alipomwaga mbegu shambani alitarajia akapalilie magugu au!Hajazaa yeye, wamezaa wanawake wake.ss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipomwaga mbegu shambani alitarajia akapalilie magugu au!Hajazaa yeye, wamezaa wanawake wake.ss
Nina watoto wa3 hiyo dua peleka kwingine, nachokupa ni ushauri uchague au uuache hulazimishwi ndg ynguAsante dada. Mungu akuepushe na kupata watoto kama unadhani watoto ni chanzo cha kuanguka kwa biashara
Unanitafuta? Kwa lipi ndg yngudah dada nilikuwa nakutafuta sana afadhali nimekuona. mambo?
Ungekuwa umezaa na mwanamke mmoja sawa! Ila kila mtoto na mama yake kisha unakataa huzai hovyo.Watoto wawili ni kuzaa hovyo? Unajua plan yangu ya maisha? Nyie mahanithi na wagumba ulemavu wenu unatuletea kero tu
Khaaa!Siku utakayokua mwanaume kamili hautakumbuka hata birthday yako
Samahani natoka nje ya mada.Ivi hili suala la mwanaume mzima kusema Bethdei yangu ivi hua mnakua sirias kweli?Mkuu Mimi pia birthday yangu inakaribia na ninapitia same situation, Madeni mengi sana, Nimepoteza mali nyingi, hapa nakaribia kupoteza nyumba ninayoishi kama sio leo ni kesho, Maana leo ndio ilikuwa mwisho..
Daah! Sijui hata nafanyaje.. Kwa kweli nimechoka sana na sijui nafanya nini ,
Ukitongozwa, tongozekaUnanitafuta? Kwa lipi ndg yngu
Birthday sio sherehe ni ukumbusho kukushtua tu, bro unazeeka umefanya nini hadi sasa?Samahani natoka nje ya mada.Ivi hili suala la mwanaume mzima kusema Bethdei yangu ivi hua mnakua sirias kweli?
Yaani kabisa unapata mda wa kukumbuka siku yako ya kuzaliwa?
Kweli wenzetu maisha hayawapi shida kabisa[emoji849]
sio kwaubaya ila tangu sijajiunga humu nilikuwa nakupenda sana.so nilijapiza nikiwa na I'd. humu nikuambie hiki kitu.Unanitafuta? Kwa lipi ndg yngu
Ndo umwagiwe na maji ? Mbaya zaidi umetulia tuliii mwanaume mzima!!Birthday sio sherehe ni ukumbusho kukushtua tu, bro unazeeka umefanya nini hadi sasa?
Tatizo liko wapi hapo?Ungekuwa umezaa na mwanamke mmoja sawa! Ila kila mtoto na mama yake kisha unakataa huzai hovyo.
At my age of 49 yrs sijawahi kumwagiwa maji. Wala kamwe haitokuja kutokea. Nyie kizazi cha mashoga mnamwagiwa mwagiwa kila kituNdo umwagiwe na maji ? Mbaya zaidi umetulia tuliii mwanaume mzima!!
Hizi tamaduni za kimagharibi tuwaachie wenyewe [emoji57]
Huu msemo una ukweli mkubwa ndani ya maisha yangu. Naweza sema hili si la kulipuuza huu wakati unaopitia muweke Mungu mbele, unatakiwa kumuaminisha Mungu kuwa hakuwa wa kutatua hii changamoto ninayopitia zaidi yako Mungu. Hakika atakupigania na utashinda. Ila ukiyumba tu kufanya maamuzi yako mwenyewe umekwisha. Mungu akakutendee miujiza na yakawe mapito tu.Kiranja Mkuu, situation unayoipitia ni sehemu tu ya ushindi iwapo hali hiyo utaanza kuiona kama chachu ya mabadiliko chanya na si kama njia ya kaburini.
Kwa namna ulivyo andika, inaonekana umekata sana tamaa, lakini napenda tu kukujulisha kwamba kuna tumaini tena.
View attachment 2541379
Huyo mama yake naye wanaroho ngumu.yan umepitia mtatizo hatak uwone watoto .mmmh.aulimnyanyasa b4Daa binafsi naanza kuhisi kitu siyo cha kawaida(kizuri/kibaya) kwa sisi tuliozaliwa machi&Aprl.
Mi pia nilizaliwa 31/03/....
lakini katika docs zangu huwa natumia 01/04/....(naomba pia mnishauri kama ni mbaya kiroho/kidunia,,,
Basi bwana,pia binafsi napitia kipindi kigumu kama mtoa mada anavyopitia,
Nikekopa kote,
Nimeuza vyote ili kujinusuru lakin bado wapi!
Zaidi ninadeni jingime baya mno!
Naomba wataalam tuelezeni,nini hiki jamani!!
Hata nimeshindwa kihudumia watoto,mama yao kawaficha anasema mpaka nikilipa gharama zake ndo ananiruhusu kuwaona
Nafikiri utakuwa na adabu njema nikizaa na mama yakoUngekuwa umezaa na mwanamke mmoja sawa! Ila kila mtoto na mama yake kisha unakataa huzai hovyo.
Na bado utaendelea kupigwa na vitu vizito mpaka akili ikukae sawa.Nafikiri utakuwa na adabu njema nikizaa na mama yako