britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Nimetoka kapa japo nahisi ni dongo la kisiasa kwa nanii mgawa fedhaHapumui vema, halali Usingizi ukaja,
Kibubu kinapukutika kwa kasi sana,
Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena,
Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni,
Kilemba chawasha kichwani Kama aliyesukwa na mkono wa kushoto,
Mambo si mambo bundi anatoa mlio wa kuku kumsogeza karibu, kumbe ni bundi ,
Bisho bisho bisho,
Sauti za faragha kutoka kwenye minong’ono ya Mahaba ndo inamuongoza jinsi ya kuyachota maji mtoni
Kinachoniliza sana ni mto anaoekekea njia anayoelekezwa kuna Chatu, kwenye mto husika kuna mamba, cha kushangaza zaidi ndoo aloambiwa atumie imejaa siafu na ameweka kichwani bila kuikagua,
Cha kulia na kulilia kabisa kabla hajafika ambako kuna Chatu hapo kati kwenye msitu kuna njemba zinazobaka akina mama
Safari na matukio yamejaa Giza,
Namsihi aitue ndoo haraka na asiendelee kule kuchota maji, kitakachomsumbua ni siafu tu watakao kuwa wameshaingia kwenye nguo za ndani Ila ni vema kuliko kubakwa, kumezwa na chatu au mamba
Britanicca
Hapo amasemwa SamiaNimetoka kapa japo nahisi ni dongo la kisiasa kwa nanii mgawa fedha
Sana yanInasikitisha sana
Nyakua?Sana yan
Hana pichaHapumui vema, halali Usingizi ukaja,
Kibubu kinapukutika kwa kasi sana,
Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena,
Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni,
Kilemba chawasha kichwani Kama aliyesukwa na mkono wa kushoto,
Mambo si mambo bundi anatoa mlio wa kuku kumsogeza karibu, kumbe ni bundi ,
Bisho bisho bisho,
Sauti za faragha kutoka kwenye minong’ono ya Mahaba ndo inamuongoza jinsi ya kuyachota maji mtoni
Kinachoniliza sana ni mto anaoekekea njia anayoelekezwa kuna Chatu, kwenye mto husika kuna mamba, cha kushangaza zaidi ndoo aloambiwa atumie imejaa siafu na ameweka kichwani bila kuikagua,
Cha kulia na kulilia kabisa kabla hajafika ambako kuna Chatu hapo kati kwenye msitu kuna njemba zinazobaka akina mama
Safari na matukio yamejaa Giza,
Namsihi aitue ndoo haraka na asiendelee kule kuchota maji, kitakachomsumbua ni siafu tu watakao kuwa wameshaingia kwenye nguo za ndani Ila ni vema kuliko kubakwa, kumezwa na chatu au mamba
Britanicca
HatariHekaya kama hekaya nyingine
Awe kabeba ndoo ya siafu!!Hana picha
Wewe unatania. Akina Waziri, Abdul na jeshi zima la "Genge" hawawezi kuruhusu aishie njiani. Utamu wa madaraka umekwisha waingia ndani ya mifupa.Namsihi aitue ndoo haraka na asiendelee kule kuchota maji, kitakachomsumbua ni siafu tu watakao kuwa wameshaingia kwenye nguo za ndani Ila ni vema kuliko kubakwa, kumezwa na chatu au mamba