Nsumba ltd
Senior Member
- Mar 19, 2024
- 133
- 299
Chonkasi iwe
Wahuni wanakopa vikoba alafu bili wanaachiwa wananchi.Ogopa kuzugukwa na wahuni alafu wana maslai yao wewe wanakutumia tu ndo kilichomkuta huyo mtu
We unakimbiliaga codesHapa pagumu Lakin naweza jua
Bisho ntongo ni mtu mwenye macho makubwa Kama nyanya mshumaa,
Mtoni nadhani ni uongozi na bundi ni mfumo
Tatu sauti ya mahaba ya faragha nadhani hapa unasema mchengerwa kupitia wanu wanaongoza nchi
Mwamba umeadimika
NamBisho-Macho makubwa(Haya)
Kulikoni mbona umafukua kaburi?
We umeelewa? 😀Inasikitisha sana
Hata sijasoma kabisaWe umeelewa? 😀
Hawa jamaa imefika wakati anaamua Kuandika vitu ambavyo hata wao hawavielewi😂😂Hata sijasoma kabisa