CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
.Hana picha
.Hana picha
I like your codingHapumui vema, halali Usingizi ukaja,
Kibubu kinapukutika kwa kasi sana,
Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena,
Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni,
Kilemba chawasha kichwani Kama aliyesukwa na mkono wa kushoto,
Mambo si mambo bundi anatoa mlio wa kuku kumsogeza karibu, kumbe ni bundi ,
Bisho bisho bisho,
Sauti za faragha kutoka kwenye minong’ono ya Mahaba ndo inamuongoza jinsi ya kuyachota maji mtoni
Kinachoniliza sana ni mto anaoekekea njia anayoelekezwa kuna Chatu, kwenye mto husika kuna mamba, cha kushangaza zaidi ndoo aloambiwa atumie imejaa siafu na ameweka kichwani bila kuikagua,
Cha kulia na kulilia kabisa kabla hajafika ambako kuna Chatu hapo kati kwenye msitu kuna njemba zinazobaka akina mama
Safari na matukio yamejaa Giza,
Namsihi aitue ndoo haraka na asiendelee kule kuchota maji, kitakachomsumbua ni siafu tu watakao kuwa wameshaingia kwenye nguo za ndani Ila ni vema kuliko kubakwa, kumezwa na chatu au mamba
Britanicca
Umefungua code kirahisi sana mkuu. 😁😁😁Hapa pagumu Lakin naweza jua
Bisho ntongo ni mtu mwenye macho makubwa Kama nyanya mshumaa,
Mtoni nadhani ni uongozi na bundi ni mfumo
Tatu sauti ya mahaba ya faragha nadhani hapa unasema mchengerwa kupitia wanu wanaongoza nchi
HahaWewe unatania. Akina Waziri, Abdul na jeshi zima la "Genge" hawawezi kuruhusu aishie njiani. Utamu wa madaraka umekwisha waingia ndani ya mifupa.
Safari ni safari tu, hadi mtoni wakapambane na mamba huko huko! Kwani chatu ni kitu gani?
ANAJULIKANA ALIMWAMBIA MKWEWE ANA KIFUA, SASA KIFUA KWA MKWEWE CHA NINI? ANATARAJIA FAMILIA YAKE NDO WAWE WATAWALA .MTOTO NAWU, WEMK AMSAIDIE SASA! KUDADEKIHapa pagumu Lakin naweza jua
Bisho ntongo ni mtu mwenye macho makubwa Kama nyanya mshumaa,
Mtoni nadhani ni uongozi na bundi ni mfumo
Tatu sauti ya mahaba ya faragha nadhani hapa unasema mchengerwa kupitia wanu wanaongoza nchi
Pinochet hakuwa fala, Bokasa na wengineo kama hao, hata MOI alikuwa Prof wa Siasa, Babangida Maradona WA Siasa, Abacha n.kMafisadi sio mafala, nguvu yao ni mamlaka ya kisheria.
Wamekamata huko na kujipanga huko kwenye chama na serikalini.
Mengine labda iwe miujiza tu
Ujumbe Mkuu.Namsihi aitue ndoo haraka na asiendelee kule kuchota maji, kitakachomsumbua ni siafu tu watakao kuwa wameshaingia kwenye nguo za ndani Ila ni vema kuliko kubakwa, kumezwa na chatu au mamba
Wajifunze kwa amko. Siku za mwisho alijisalimisha kwa paroko! Siyo mchezoAlieua kwa upanga atakufa kwa upanga. Kipimo kile upimacho ndicho utapimiwa. Sauti ya damu ya watu waliouawa kinyama inadai kisasi, hapo atapumua vizuri? Karma itamtafuna.
Hana busara 🤣🤣🤣Mama wa ziki zikam naha rasabu
Wazee code nimeshindwa kuifungua hii code 🏃🏾Hapumui vema, halali Usingizi ukaja,
Kibubu kinapukutika kwa kasi sana,
Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena.
Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni.
Kilemba chawasha kichwani Kama aliyesukwa na mkono wa kushoto,
Mambo si mambo bundi anatoa mlio wa kuku kumsogeza karibu, kumbe ni bundi ,
Bisho bisho bisho.
Sauti za faragha kutoka kwenye minong’ono ya Mahaba ndo inamuongoza jinsi ya kuyachota maji mtoni.
Kinachoniliza sana ni mto anaoekekea njia anayoelekezwa kuna Chatu, kwenye mto husika kuna mamba, cha kushangaza zaidi ndoo aloambiwa atumie imejaa siafu na ameweka kichwani bila kuikagua,
Cha kulia na kulilia kabisa kabla hajafika ambako kuna Chatu hapo kati kwenye msitu kuna njemba zinazobaka akina mama.
Safari na matukio yamejaa Giza,
Namsihi aitue ndoo haraka na asiendelee kule kuchota maji, kitakachomsumbua ni siafu tu watakao kuwa wameshaingia kwenye nguo za ndani Ila ni vema kuliko kubakwa, kumezwa na chatu au mamba
Britanicca
Usishitue,muache akajionee kama ni ya ukweli uyasemayo.Hapumui vema, halali Usingizi ukaja,