Bisho Ntongo namuona kwenye kona, inasikitisha sana, wametoboa mtumbwi sasa

Hapa pagumu Lakin naweza jua
Bisho ntongo ni mtu mwenye macho makubwa Kama nyanya mshumaa,

Mtoni nadhani ni uongozi na bundi ni mfumo

Tatu sauti ya mahaba ya faragha nadhani hapa unasema mchengerwa kupitia wanu wanaongoza nchi
Umefungua codes vizuri
 
Hapumui vema, halali Usingizi ukaja,
Kibubu kinapukutika kwa kasi sana,
Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena.

Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni.

Kilemba chawasha kichwani Kama aliyesukwa na mkono wa kushoto,
Mambo si mambo bundi anatoa mlio wa kuku kumsogeza karibu, kumbe ni bundi ,
Bisho bisho bisho.

Sauti za faragha kutoka kwenye minong’ono ya Mahaba ndo inamuongoza jinsi ya kuyachota maji mtoni.

Kinachoniliza sana ni mto anaoekekea njia anayoelekezwa kuna Chatu, kwenye mto husika kuna mamba, cha kushangaza zaidi ndoo aloambiwa atumie imejaa siafu na ameweka kichwani bila kuikagua,

Cha kulia na kulilia kabisa kabla hajafika ambako kuna Chatu hapo kati kwenye msitu kuna njemba zinazobaka akina mama.

Safari na matukio yamejaa Giza,

Namsihi aitue ndoo haraka na asiendelee kule kuchota maji, kitakachomsumbua ni siafu tu watakao kuwa wameshaingia kwenye nguo za ndani Ila ni vema kuliko kubakwa, kumezwa na chatu au mamba

Britanicca
Kumbe wapenzi wa article za Peter tuko wengi.Sady don't get time to read as i used to.
 
Wewe unatania. Akina Waziri, Abdul na jeshi zima la "Genge" hawawezi kuruhusu aishie njiani. Utamu wa madaraka umekwisha waingia ndani ya mifupa.

Safari ni safari tu, hadi mtoni wakapambane na mamba huko huko! Kwani chatu ni kitu gani?
Kwamba chatu akiwaviringa watamchanachana na nyembe?😄
 
Duu kweli duniani tunapita

Basi tupite taratibu haya Sasa yote yanakuzunguka wewe mtu mmoja
 
Kwa mwendo tunao enda nao na lazima kutumia kiswahili kigumu ili kwa wale tuu walopata B na kuendelea wafikiwe na ujumbe.

Ila cha kusikitisha muuhusika ujumbe atauona na hata kama atauelewa hatasikia manake tabia ya kenye ni mpaka damu zimtoke makioni na atagutuka kuwa hapa anapata kibano

Anyway watoto wa jirani wanamkosea adabu sana. Ila ndo ukweli wenyewe siku hizi kila mtu alee mtoto wake mwenyewe

Na ikitokea mtoto wa jirani kakosea njia na kuingia kwako bila mwaliko wewe mwonyeshe njia ya kurudia kwao bila ya kumchapa na kutegua mguu.

Yaani siyo kwa matusi haya toka wa watoto wa jirani jamani
 
Hapumui vema, halali Usingizi ukaja, Kibubu kinapukutika kwa kasi sana, Mtungi wa maji unatoa sauti ya kukanyagwa juu na panya na sauti inaogofya sana kuna ishara hata maji hakuna Tena.

Wale wale walotaka kutunyula burunji naye nao wameangalia pembeni Kama hawamuoni.

Kilemba chawasha kichwani Kama aliyesukwa na mkono wa kushoto, Mambo si mambo bundi anatoa mlio wa kuku kumsogeza karibu, kumbe ni bundi, Bisho bisho bisho.

Sauti za faragha kutoka kwenye minong’ono ya Mahaba ndio inamuongoza jinsi ya kuyachota maji mtoni.

Kinachoniliza sana ni mto anaoekekea njia anayoelekezwa kuna Chatu, kwenye mto husika kuna mamba, cha kushangaza zaidi ndoo aloambiwa atumie imejaa siafu na ameweka kichwani bila kuikagua,

Cha kulia na kulilia kabisa kabla hajafika ambako kuna Chatu hapo kati kwenye msitu kuna njemba zinazobaka akina mama.

Safari na matukio yamejaa Giza,

Namsihi aitue ndoo haraka na asiendelee kule kuchota maji, kitakachomsumbua ni siafu tu watakao kuwa wameshaingia kwenye nguo za ndani Ila ni vema kuliko kubakwa, kumezwa na chatu au mamba

Britanicca
Chief codes zako hizi naona hata wanaojinasibu kusoma Cuba wametepeta mbaya!
 
Wengine mafumbo hatuyajui
 
Back
Top Bottom