Bisho Ntongo namuona kwenye kona, inasikitisha sana, wametoboa mtumbwi sasa

I like your coding
 
"Kilemba chawasha kichwani Kama aliyesukwa na mkono wa kushoto,
Mambo si mambo bundi anatoa mlio wa kuku kumsogeza karibu, kumbe ni bundi ,
Bisho bisho bisho,
Sauti za faragha kutoka kwenye minong’ono ya Mahaba ndo inamuongoza jinsi ya kuyachota maji mtoni"

Kilemba, ....bundi....kuchota maji......mtoni....
 
Wewe unatania. Akina Waziri, Abdul na jeshi zima la "Genge" hawawezi kuruhusu aishie njiani. Utamu wa madaraka umekwisha waingia ndani ya mifupa.

Safari ni safari tu, hadi mtoni wakapambane na mamba huko huko! Kwani chatu ni kitu gani?
Haha
 
Naona kama ni Lisu anaongelewa hapa, kwamba aache vinginevyo atatupwa mto wenye mamba
 
Hapa pagumu Lakin naweza jua
Bisho ntongo ni mtu mwenye macho makubwa Kama nyanya mshumaa,

Mtoni nadhani ni uongozi na bundi ni mfumo

Tatu sauti ya mahaba ya faragha nadhani hapa unasema mchengerwa kupitia wanu wanaongoza nchi
ANAJULIKANA ALIMWAMBIA MKWEWE ANA KIFUA, SASA KIFUA KWA MKWEWE CHA NINI? ANATARAJIA FAMILIA YAKE NDO WAWE WATAWALA .MTOTO NAWU, WEMK AMSAIDIE SASA! KUDADEKI
 
Mafisadi sio mafala, nguvu yao ni mamlaka ya kisheria.

Wamekamata huko na kujipanga huko kwenye chama na serikalini.

Mengine labda iwe miujiza tu
Pinochet hakuwa fala, Bokasa na wengineo kama hao, hata MOI alikuwa Prof wa Siasa, Babangida Maradona WA Siasa, Abacha n.k
 
Wazee code nimeshindwa kuifungua hii code 🏃🏾
 
Usishitue,muache akajionee kama ni ya ukweli uyasemayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…