Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

Punguza ujuaji, taarifa rasmi inasema pacemaker ilipata hitilafu ya umeme sasa wewe unatoa wapi hizo hoja?

Pacemaker alipandikizwa uingereza akiwa anasoma UDSM, na uzi upo humu wenye gazeti la "The Hill" wakiomba michango ya wasamaria wema akafanyiwe huo upasuaji.

So kama hujui kitu kaa kimya sio ujuaji mwingi.
 
Mi na wewe nani mjuaji, taarifa rasmi ya kisiasa nayo ni taarifa, kwani CAG nae si taarifa zake huwa ni rasmi mbona hamna anaekamatwa kwa wizi wa mabilioni. UBONGO WAKO NA WANGU TUKIWEKA SOKONI WAKO UTAKUWA NA BEI KUBWA SANA.
 
Na kingine Cha kushangaza zaidi,

Nchi yetu, ilikopeshwa Chanjo za majaribio😭
Sasa... Hili jambo ndo linasikitisha sana... Unakopeshwa pesa ili ujifanyie majaribio.... Ukifa je?πŸ€”πŸ€”
 
Magufuli mwenyewe amekufa kwa kukaidi chanjo bado unamshukuru kwa UPUMBAVU wake?
 
Chanjo ni mradi tu,kama miradi mengine kama vile mradi wa maleria !!
Hii ni Kweli,

Halafu wanatumia lugha lakini kuwa ni msaada,

Kumbe ni mkopo ambao tutalipa Kwa namna mbalimbali.
 
Ni ujinga kuamini dawa B sababu tu umekuwa mdau wa dawa A miaka nenda rudi, ukataka usiambiwe uhayawani wa madhara ya dawa B, unajizima data kwa sababu ya aliyezitengeneza ni yuleyule bwana wako?

Uafrica ni laana?
 
Imethibitika kuwa,

Bishop Gwajima, ni mtu anayepaswa kuaminiwa na Watanzania.

Abarikiwe.
Umeshachukua tiketi yako ya kwenda Birmingham kujifunza uvuvi kwa udhamini wa Gwajiboy.
 
Hujui ulichoandika.
Unamaanisha ambao hawakuchanja Chanjo fake, wote walienda na maji sio!!
Hufahamu sayansi ya virology & immunology tuishie hapo. Mambo ya sayansi yatajadiliwa na wanasayansi tu. Nyie muliyeamua kumsikia mungu wenu Magufuli endeleeni
 
Hujui ulichoandika.

Hufahamu sayansi ya virology & immunology tuishie hapo. Mambo ya sayansi yatajadiliwa na wanasayansi tu. Nyie muliyeamua kumsikia mungu wenu Magufuli endeleeni
Magu alikuwa Nabii wa Mungu Si mungu
 
Chanjo kutoka kwa Wazungu hatuna namna ya kuzikwepa,
Hapo ulipo wewe mwenyewe umeshachanjwa chanjo nyingi tu kabla na baada ya kuzaliwa , na mimi pia ni hivyo hivyo,
Na tangu chanjo zianze kutumika Duniani sehemu kubwa ya hizo chanjo zimekuwa zikifanyiwa majaribio yake kwenye Nchi za Dunia ya tatu ,
Kwa kujua ama kwa kutokujua siku moja utafanyiwa tu majaribio πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜³
 
Kumbe!!!

Ukichanja Chanjo ya poolio, kamwe hutopata polio, Ukichanja ndio vile vile.

Lakini chanzo fake ya corona, haiondoi possibility ya Kupata corona.

Sasa ikiwa Chanjo haiepushi mchanjwa kupata corona, Chanjo hiyo Ina KAZI ingine zaidi ya hiyo.

Hayo haya kushangazi wewe?
 
taarifa rasmi ya kisiasa
Taarifa ya professor Mchembe ni ya kisiasa? Familia wameikubali alafu wewe ndio unasema ya kisiasa? Sasa taarifa ya kitaalamu ni ipi kama sio ya daktari wa Rais?
kwani CAG nae si taarifa zake huwa ni rasmi mbona hamna anaekamatwa kwa wizi wa mabilioni.
Kutochukuliwa hatua kunahusiana nini na taarifa kuwa rasmi? Mahakama huwa inasema mtu A amlipe mtu B, je asipolipa ina maana mahakama imetoa hukumu mbovu? Ni hivi, Utekelezaji hauna uhusiano na taarifa kuwa rasmi.
UBONGO WAKO NA WANGU TUKIWEKA SOKONI WAKO UTAKUWA NA BEI KUBWA SANA.
Kwa lipi ulilonalo kichwani? Unabisha taarifa ya daktari unataka tuamini ya kwako usiye hata na diploma ya clinical medicine? Embicile
 
Lakini chanzo fake ya corona, haiondoi possibility ya Kupata corona.

Sasa ikiwa Chanjo haiepushi mchanjwa kupata corona, Chanjo hiyo Ina KAZI ingine zaidi ya hiyo.

Hayo haya kushangazi wewe?
Tokea chanjo ije cases za Covid 19 zimeongezeka ama zimepungua? Naomba ujibu hili kwanza.
 
Ni ujinga kuamini dawa B sababu tu umekuwa mdau wa dawa A miaka nenda rudi, ukataka usiambiwe uhayawani wa madhara ya dawa B, unajizima data kwa sababu ya aliyezitengeneza ni yuleyule bwana wako?

Uafrica ni laana?
Naona hatuelewani, hoja yangu ni kwamba HAKUNA CHANJO au DAWA isiyo na side effects.

2. Kama hoja ni side effects, basi tuanze na ARVs, Dawa mseto ya malaria,MRI scan, na chemotherapy maana ndio zina madhara kuliko hata chanjo za Covid 19.

3. Nimetoa mfano wa JPM, yeye alipinga Covid 19 kwa kigezo cha kuwa "wazungu hawatupendi" cha ajabu yeye akawa anatumia pacemaker iliyotengenezwa na wazungu!! Yaani pacemaker ni halali ila chanjo ndio haramu...... huu unafiki ndio tunaopinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…