Bishop Gwajima alikuwa sahihi kupinga majaribio ya Chanjo za COVID 19, abarikiwe

Ndugu kwenye usalama wa taifa au serikali tena? Alaa, sikujua. Kumbe watu wote walioko serikalini na usalama wa taifa wanajua kuwa siri za nchi? Hili limenifanya nizidi kukudharau. Kumbe najibizana na mbumbumbu mzungu wa reli asiyejua hata usalama wa taifa una muundo gani na wanafanyaje kazi au serikali ina include watu gani. Hizi ni zile statement za kijima kabisa ambazo hata vijiwe vya vijijini huko wameshazishtukia.
 
Kumbe wewe unategemea thread za JF ku-backup tuhuma zako!
 
Kuwa chanjo zilileta madhara kwa baadhi ya watu hili halina ubishi. Lakini walioathirika uki-compare na waliochanja that is acceptable. Kwa taarifa yako chanjo karibia zote huwa zinaleta madhara na hata vifo kwa baadhi ya watu. Dawa za malaria zenyewe kuna watu wanaathirika. Maziwa haya haya ya ng'ombe kuna watu wanaathirika wakinywa. Karanga...mayai ya kuku... you mention..
 
Mkuu endelea kuamini unavyoamini na mimi niache niamini ninavyoamini. Nisijikute nakuvunjia heshima bure. Poa MKUU.👍
Ehee. Haya ndiyo maneno. Endelea kudanganywa. Kwa kifupi mimi huwezi kunivunjia heshima kwa sababu hata hunijui. Unadhani kusema nina ubongo wa kamasi ni kunivunjia heshima? Mambo kama haya wana-react watu wasiojiamini tu.
 
Sawa, au tuseme wewe umeshinda basi..😂
 
Wazungu wamekiri kuwa chanjo hazikufanyiwa tafiti ya kutosha
Mzungu gani? Kwahiyo akikaa mtu mmoja akatoa maoni basi ndio maoni ya watu Billion 2 waliochanjwa? We una reasoning mbovu sana.
watanzania wengine ni wajinga
Ukiwemo wewe, yaani tokea chanjo imekuja cases za covid 19 zimepungua badala ya kueleza kwanini imefanikiwa uko busy kusema ni feki? Chanjo zipo zaidi ya 20 je hao wanaosema hazikufanyiwa majaribio ni zipi? Astrazeneca? Johnson and Johnson? Pfizer? Moderna? Sputnik?

Usiongee tu general Kana kwamba hii ni Facebook, leta hapa ni chanjo gani hiyo unayopinga? Mpaka za warusi na wachina? Vipi za madagascar zile tulizoletewa na Kabudi je zilifanyiwa test za kutosha?
 
Nimelia sana baada ya kusoma Paragraph ya mwisho..... 🥲😂🤣
 
Hii legacy ya kupinga majaribio ya chanjo ya COVID 19 na kuwavusha salama watanzania na hili janga ni ya Mwendazake au Bishop Gwajima , nani anastahili sifa hii ?
 
Chanjo ya corona ilikosa sifa za kutosha kuitwa Chanjo.

Nia na dhamira ya Chanjo, ni kuzuia mtu asipate au kuathirika na ugonjwa uliolengwa,

Chanjo ya corona haikuwa na uwezo kuzuia mtu asipate corona,

Ikiwa wewe na Elimu Yako uliona ni sawa mwili wako ufanyiwe majaribio,

Ni dhahiri, ulizidiwa Maarifa na laymen wa huko vijijini.
 
Hii legacy ya kupinga majaribio ya chanjo ya COVID 19 na kuwavusha salama watanzania na hili janga ni ya Mwendazake au Bishop Gwajima , nani anastahili sifa hii ?
Ni Mungu ndiye anayestahili sifa hizi Kwa kuwapa Magu na Gwajima uwezo na ujasiri kulivusha Taifa,

Sijui kama nimekujibu ipasavyo!!
 
Na Bado Tunaletewa Chanjo Ya Mlango Wa Kizazi. Mbunge Msukuma Aliongea Jambo La Maana Wananchi Mkamshambulia, Hizo Chanjo Zinazodungwa Kwa Watoto Hazina Utafiti Wala Uchunguzi. Mkaona Anaropoka, Haya Sasa Tusubiri Watu Waanze Kuganda Damu
 
Viongozi hawana huruma na wananchi,

Na hayo ni madhara ya kuwa tegemezi.
 
Ujinga ujinga huu watu wamekufa mpaka Raisi kwasababu za uongo wa kijinga kama huu
 
Ujinga ujinga huu watu wamekufa mpaka Raisi kwasababu za uongo wa kijinga kama huu
Ugonjwa wa kutengeza, na Chanjo ni fake, za majaribio ya kitu kisichofanana na ugonjwa wenyewe!!
 
Baba yangu wa kiroho..ana madini Sana baba GWAJIMA huchoki kumsikiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…