Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
We umejuaje? Punguza kiherehere hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe....Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Hivi ungekuwa wewe unapewa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya uhujumu au utakatishaji pesa ambayo haina dhamana kisha unakaa gerezani miaka minne upelelezi haujakamilika utafanya nini? Utachanganyikiwa.Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Huna akiliKifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Ulichungulia kwenye mifuko yake au unaandika tu kama zumbukuku?Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Uchunguzi utaonyesha zilikokwenda wala haihitaji kunyoosheana vidole. Plea bargain ipo kisheria hilo sio tatizo la mtu pili pesa zilikokwenda itajulikana ndipo baada ya hapo tunyoosheane vidole lakini sio sasa.Tatizo hapo sio uwepo wa kifungu cha sheria kinachotambua uwepo wa Plea Bargaining, tatizo lililopo ni zile pesa [mlima wa manoti] uliopatikana kutokana na kufuatwa hiyo sheria, zilikwenda wapi?
Hakuna MATAGA mwenye akiliKifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Ule uchunguzi wa pesa zilizopotea benki kuu wakati wa msiba wa Magufuli mpaka leo sijawahi kuona majibu yake, sina imani na hao jamaa.Uchunguzi utaonyesha zilikokwenda wala haihitaji kunyoosheana vidole. Plea bargain ipo kisheria hilo sio tatizo la mtu pili pesa zilikokwenda itajulikana ndipo baada ya hapo tunyoosheane vidole lakini sio sasa.
SUBIRI UCHUNGUZI mbona umeanza UCHAWA HARAKAKifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Hapo hata mimi nakuunga mkono, kwamba kama zilichukuliwa zilienda wapi? Ni swali la msingi sanaTatizo hapo sio uwepo wa kifungu cha sheria kinachotambua uwepo wa Plea Bargaining, tatizo lililopo ni zile pesa [mlima wa manoti] uliopatikana kutokana na kufuatwa hiyo sheria, zilikwenda wapi?
Hivi data sensitive kama hizo zinatunzwaje kwenye laptop? Nauliza tu wajameniNi Wapi ilipo Laptop iliyokua na taarifa za Watuhumiwa hasa kwenye hizo Plea Bargains?
Only in TanzaniaHivi data sensitive kama hizo zinatunzwaje kwenye laptop? Nauliza tu wajameni