Biswalo Mganga hana makosa. Plea bargaining ni kwa mujibu wa sheria. Hakuna pesa iliyoingia mfukoni kwa mtu. Zitto ni mpenda sifa za kijinga

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba
20221017_035455.jpg
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
We umejuaje? Punguza kiherehere hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe....

Heri achekaye mwisho maana hucheka milele....

Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake....

Mngezijua siku zaja za kulia na kusaga meno hakika msingetamani zile karamu Za ubatili na makufuru za fashisti KAYAFA!!
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Hivi ungekuwa wewe unapewa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya uhujumu au utakatishaji pesa ambayo haina dhamana kisha unakaa gerezani miaka minne upelelezi haujakamilika utafanya nini? Utachanganyikiwa.
Sasa Biswalo na timu yake kumbe muda wote huo wanachunguza fedha ngapi unazo, majumba mangapi au viwanja prime area unamiliki.

Unafuatwa gerezani kila siku na hata ndugu zako wanafuatwa usaini plea bargain uachiwe kwa kulipa bilioni moja na nyumba 2 au 3 uachie. Ukikumbuka hiyo miaka 4 watoto wameathirika, ndugu wamekufa, mkeo anaanza kukosa msimamo na wewe uko matesoni unajiuliza mali na pesa ni nini zaidi ya uhuru wako?

Una saini uporaji huo, na kumbe haziendi serikalini bali Biswalo na nduguze na marafiki wanagawana.
Halafu Nyankurungu2020 anatoka atokako anamtetea!
 
Tatizo hapo sio uwepo wa kifungu cha sheria kinachotambua uwepo wa Plea Bargaining, tatizo lililopo ni zile pesa [mlima wa manoti] uliopatikana kutokana na kufuatwa hiyo sheria, zilikwenda wapi?
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Huna akili
Watu hawalalamikii plea bargain kama plea bargain wanacholakamikia ni namna sheria ilivyotekelezwa
kumbuka
1. kuna watu walilipa zaidi ya wengine wakati wako kwenye kesi moja, hili halikuwepo kwenye sheria

2. Utaratibu wa kuwalipisha watu hela ulianza hata kabla ya kutungwa kwa Sheria?

3. Kuna tuhuma pia mchakato kughubikwa na rushwa.

Hizo ndo hoja , hoja sio kwamba hakukuwa na Sheria
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Ulichungulia kwenye mifuko yake au unaandika tu kama zumbukuku?
 
Tatizo hapo sio uwepo wa kifungu cha sheria kinachotambua uwepo wa Plea Bargaining, tatizo lililopo ni zile pesa [mlima wa manoti] uliopatikana kutokana na kufuatwa hiyo sheria, zilikwenda wapi?
Uchunguzi utaonyesha zilikokwenda wala haihitaji kunyoosheana vidole. Plea bargain ipo kisheria hilo sio tatizo la mtu pili pesa zilikokwenda itajulikana ndipo baada ya hapo tunyoosheane vidole lakini sio sasa.
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Hakuna MATAGA mwenye akili
 
Uchunguzi utaonyesha zilikokwenda wala haihitaji kunyoosheana vidole. Plea bargain ipo kisheria hilo sio tatizo la mtu pili pesa zilikokwenda itajulikana ndipo baada ya hapo tunyoosheane vidole lakini sio sasa.
Ule uchunguzi wa pesa zilizopotea benki kuu wakati wa msiba wa Magufuli mpaka leo sijawahi kuona majibu yake, sina imani na hao jamaa.
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
SUBIRI UCHUNGUZI mbona umeanza UCHAWA HARAKA
 
Mafisadi yanahaha, team JPM wanakula maisha baada ya kazi iliyotukuka.
EhUtpm5WAAAlEku.jpeg
 
Back
Top Bottom