Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Umepewa hadi kifungu cha sheria. Umeambiwa ni utaratibu upo. Ndio maana kina kabendera wanasema wameminywa p.u.mb.u wanakwepa vipengele vya sheria.We umejuaje? Punguza kiherehere hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe....
Heri achekaye mwisho maana hucheka milele....
Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake....
Mngezijua siku zaja za kulia na kusaga meno hakika msingetamani zile karamu Za ubatili na makufuru za fashisti KAYAFA!!
Nchi ilikuwa imetekwa na Wahamiaji haramu.Mafisadi yanahaha, team JPM wanakula maisha baada ya kazi iliyotukuka. View attachment 2389727
Mbona Rugemalila hakukubali?Hivi ungekuwa wewe unapewa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya uhujumu au utakatishaji pesa ambayo haina dhamana kisha unakaa gerezani miaka minne upelelezi haujakamilika utafanya nini? Utachanganyikiwa.
Sasa Biswalo na timu yake kumbe muda wote huo wanachunguza fedha ngapi unazo, majumba mangapi au viwanja prime area unamiliki.
Unafuatwa gerezani kila siku na hata ndugu zako wanafuatwa usaini plea bargain uachiwe kwa kulipa bilioni moja na nyumba 2 au 3 uachie. Ukikumbuka hiyo miaka 4 watoto wameathirika, ndugu wamekufa, mkeo anaanza kukosa msimamo na wewe uko matesoni unajiuliza mali na pesa ni nini zaidi ya uhuru wako?
Una saini uporaji huo, na kumbe haziendi serikalini bali Biswalo na nduguze na marafiki wanagawana.
Halafu Nyankurungu2020 anatoka atokako anamtetea!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huwezi kujua kama wewe ni educationlessUkitetea upumbavu na wewe unakuwa ni mpumbavu
Na yeye achunguzwe kwa undani kama alivyowachunguza waleHivi ungekuwa wewe unapewa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya uhujumu au utakatishaji pesa ambayo haina dhamana kisha unakaa gerezani miaka minne upelelezi haujakamilika utafanya nini? Utachanganyikiwa.
Sasa Biswalo na timu yake kumbe muda wote huo wanachunguza fedha ngapi unazo, majumba mangapi au viwanja prime area unamiliki.
Unafuatwa gerezani kila siku na hata ndugu zako wanafuatwa usaini plea bargain uachiwe kwa kulipa bilioni moja na nyumba 2 au 3 uachie. Ukikumbuka hiyo miaka 4 watoto wameathirika, ndugu wamekufa, mkeo anaanza kukosa msimamo na wewe uko matesoni unajiuliza mali na pesa ni nini zaidi ya uhuru wako?
Una saini uporaji huo, na kumbe haziendi serikalini bali Biswalo na nduguze na marafiki wanagawana.
Halafu Nyankurungu2020 anatoka atokako anamtetea!
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nonsenseccm watetea Sabaya na Biswalo na Bashite?!
Kwani tangu mmepiga kelele ni lipi lililotokea ?We umejuaje? Punguza kiherehere hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe....
Heri achekaye mwisho maana hucheka milele....
Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake....
Mngezijua siku zaja za kulia na kusaga meno hakika msingetamani zile karamu Za ubatili na makufuru za fashisti KAYAFA!!
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Onyesha risiti ya serikali kuthibitisha kuwa mzigo ulienda serikalini. Ni rahisi hivyo.Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Toka lini plea bargain ikasimamiwa na DPP kwenye nchi inayofuata "Rule of Law"? Unafanyaje plea bargain kwenye maziingira ambayo upelelezi haujakamilika?Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Tulitaka kutengeneza mabilionea wapya 1000 kwa mfumo wa sampuli hiii.Wewe hujielewi wewe...!!
Hela kwa nini ziliingizwa kwenye akaunti ya Biswalo...!!
Kuna watu mali zao zilichukuliwa lakini kwa sasa wanaishi humo watu binafsi, na hazijakadhiwa .
Mkuu mbona unajitia mchecheto , usiuvae mkenge , tulia kama unanyolewa.Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Ndo kakutuma huyo biswalo umtetee? Watu wamelazimishwa kununua uhuru alafu unaleta ujinga? Watu wamedhulimiwa kibabe, mali za kina biswalo zinaonekana, jeuri, kiburi cha pesa, ni suala la muda tu.Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Tukutane mahakamaniKifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
naomba ufafanuzi kwann huyo mchungaji aliyekula kondoo atimuliwe kwan maandiko yanakataz kula kondooKifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.
Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Sio kila mtu anaweza kuvumilia mateso, Ruge hakuwa na cha kupoteza maana umri umekwenda na ameandaa utaratibu mzuri kwa familia hata kama mngemuua kwa kumdhulumu maisha yake. Alikubaki kupigania maisha ya baadae na mali za familia yake.Mbona Rugemalila hakukubali?
Unasaini uporaji huo na kumbe haziendi serikalini bali Biswalo na nduguze,Magufuri na nduguze pamoja na kujenga Chato kuwa Ikulu.Hivi ungekuwa wewe unapewa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya uhujumu au utakatishaji pesa ambayo haina dhamana kisha unakaa gerezani miaka minne upelelezi haujakamilika utafanya nini? Utachanganyikiwa.