Biswalo Mganga hana makosa. Plea bargaining ni kwa mujibu wa sheria. Hakuna pesa iliyoingia mfukoni kwa mtu. Zitto ni mpenda sifa za kijinga

We umejuaje? Punguza kiherehere hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe....

Heri achekaye mwisho maana hucheka milele....

Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake....

Mngezijua siku zaja za kulia na kusaga meno hakika msingetamani zile karamu Za ubatili na makufuru za fashisti KAYAFA!!
Umepewa hadi kifungu cha sheria. Umeambiwa ni utaratibu upo. Ndio maana kina kabendera wanasema wameminywa p.u.mb.u wanakwepa vipengele vya sheria.

Wanaibuka na hoja ya kulazimishwa. Haya wameambiwa walete ushahidi.
 
Hivi ungekuwa wewe unapewa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya uhujumu au utakatishaji pesa ambayo haina dhamana kisha unakaa gerezani miaka minne upelelezi haujakamilika utafanya nini? Utachanganyikiwa.
Sasa Biswalo na timu yake kumbe muda wote huo wanachunguza fedha ngapi unazo, majumba mangapi au viwanja prime area unamiliki.
Unafuatwa gerezani kila siku na hata ndugu zako wanafuatwa usaini plea bargain uachiwe kwa kulipa bilioni moja na nyumba 2 au 3 uachie. Ukikumbuka hiyo miaka 4 watoto wameathirika, ndugu wamekufa, mkeo anaanza kukosa msimamo na wewe uko matesoni unajiuliza mali na pesa ni nini zaidi ya uhuru wako?
Una saini uporaji huo, na kumbe haziendi serikalini bali Biswalo na nduguze na marafiki wanagawana.
Halafu Nyankurungu2020 anatoka atokako anamtetea!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mbona Rugemalila hakukubali?
 
-Baadhi ya wananchi waliobambikiwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha,wanakusudia kudai fedha zao au fidia kwa madai kuwa walishurutishwa kusaini hayo madokezo na Mamlaka za Serikali
-walilazimika kufanya hivyo kutokans na hali mbaya ya kwenye magereza au kitendo cha kukosa Uhuru.
-Ni busara Serikali,ijiridhishe kama fedha hizo ziko mahali salama au la.
-Serikali haina dhamira ovu,kwa kuagiza kufanya ukaguzi maalum,
-kwa hiyo watumishi wote wa umma ambao walishiriki kwenye mchakato wa plea bargaining,watoe ushirikiano,
-ili kumwezesha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kutoa taarifa.

Ushauri;
-Tuviache vyombo vya huru Kama CAG au takukuru vifanye kazi yake na ndiyo wawasafishe wahusika,na siyo vinginevyo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ungekuwa wewe unapewa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya uhujumu au utakatishaji pesa ambayo haina dhamana kisha unakaa gerezani miaka minne upelelezi haujakamilika utafanya nini? Utachanganyikiwa.
Sasa Biswalo na timu yake kumbe muda wote huo wanachunguza fedha ngapi unazo, majumba mangapi au viwanja prime area unamiliki.
Unafuatwa gerezani kila siku na hata ndugu zako wanafuatwa usaini plea bargain uachiwe kwa kulipa bilioni moja na nyumba 2 au 3 uachie. Ukikumbuka hiyo miaka 4 watoto wameathirika, ndugu wamekufa, mkeo anaanza kukosa msimamo na wewe uko matesoni unajiuliza mali na pesa ni nini zaidi ya uhuru wako?
Una saini uporaji huo, na kumbe haziendi serikalini bali Biswalo na nduguze na marafiki wanagawana.
Halafu Nyankurungu2020 anatoka atokako anamtetea!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Na yeye achunguzwe kwa undani kama alivyowachunguza wale
Asiache hata ndugu mmoja mpaka bibi yake na kama amekufa achunguzwe pia maana wanaandika mali mpaka kwa wafu hawa

Ukishakuwa na roho ya hivyo hushindwi kitu
Mali nyingi zilienda kwa wajanja hilo halina ubishi
Kina makonda wengine hao
 
We umejuaje? Punguza kiherehere hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe....

Heri achekaye mwisho maana hucheka milele....

Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake....

Mngezijua siku zaja za kulia na kusaga meno hakika msingetamani zile karamu Za ubatili na makufuru za fashisti KAYAFA!!
Kwani tangu mmepiga kelele ni lipi lililotokea ?

Mbona kama kulia wote tunalia humu?

Au wewe na ukoo wako mnayo maduka yenu binafsi?
Ambako hamhusiki na hizi bei za Basic commodities?
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653

Wewe hujielewi wewe...!!
Hela kwa nini ziliingizwa kwenye akaunti ya Biswalo...!!
Kuna watu mali zao zilichukuliwa lakini kwa sasa wanaishi humo watu binafsi, na hazijakadhiwa serikalini!
Labda iwe baada ya hili sakata Biswalo awe tayari ameuhamishia mzigo huko hazina, na mali zikabadhiwe usiku wa manane!
Subiri ripoti ya CAG mwezi machi mwakani utaona madudu hayo, usitetee upuuzi!
Hayo yanayosemwa yapo sema ushahidi hauwezi kuwekwa humu!!
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Onyesha risiti ya serikali kuthibitisha kuwa mzigo ulienda serikalini. Ni rahisi hivyo.
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Toka lini plea bargain ikasimamiwa na DPP kwenye nchi inayofuata "Rule of Law"? Unafanyaje plea bargain kwenye maziingira ambayo upelelezi haujakamilika?

Ukweli ni kwamba plea bargain inayofanywa iko kinyume cha sheria na ni kichaka cha kujipatia fedha toka kwa waliolengwa. Ilikuwa ni i unyang'anyi wa mchana unaofanywa purposefully na Magufuli na Biswalo Mganga.
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Mkuu mbona unajitia mchecheto , usiuvae mkenge , tulia kama unanyolewa.
Mwache CAG afanye uchunguzi wake!
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Ndo kakutuma huyo biswalo umtetee? Watu wamelazimishwa kununua uhuru alafu unaleta ujinga? Watu wamedhulimiwa kibabe, mali za kina biswalo zinaonekana, jeuri, kiburi cha pesa, ni suala la muda tu.
 
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.

Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo alioupiga utaenda serikalini.

Huyu Zitto anataka sifa za nini? Za kishamba View attachment 2389653
Tukutane mahakamani
 
naomba ufafanuzi kwann huyo mchungaji aliyekula kondoo atimuliwe kwan maandiko yanakataz kula kondoo
 
Mbona Rugemalila hakukubali?
Sio kila mtu anaweza kuvumilia mateso, Ruge hakuwa na cha kupoteza maana umri umekwenda na ameandaa utaratibu mzuri kwa familia hata kama mngemuua kwa kumdhulumu maisha yake. Alikubaki kupigania maisha ya baadae na mali za familia yake.
Wenye umri mdogo hawakupenda kuacha mateso kwa familia wakati wanao muda wa kutafuta tena.
 
Hivi ungekuwa wewe unapewa kesi isiyo na kichwa wala miguu ya uhujumu au utakatishaji pesa ambayo haina dhamana kisha unakaa gerezani miaka minne upelelezi haujakamilika utafanya nini? Utachanganyikiwa.
Sasa Biswalo na timu yake kumbe muda wote huo wanachunguza fedha ngapi unazo, majumba mangapi au viwanja prime area unamiliki.

Unafuatwa gerezani kila siku na hata ndugu zako wanafuatwa usaini plea bargain uachiwe kwa kulipa bilioni moja na nyumba 2 au 3 uachie. Ukikumbuka hiyo miaka 4 watoto wameathirika, ndugu wamekufa, mkeo anaanza kukosa msimamo na wewe uko matesoni unajiuliza mali na pesa ni nini zaidi ya uhuru wako?

Una saini uporaji huo, na kumbe haziendi serikalini bali Biswalo na nduguze na marafiki wanagawana.
Halafu Nyankurungu2020 anatoka atokako anamtetea!
Unasaini uporaji huo na kumbe haziendi serikalini bali Biswalo na nduguze,Magufuri na nduguze pamoja na kujenga Chato kuwa Ikulu.
 
Back
Top Bottom