Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

"Anapambana usiku na mchana" moja ya kauli ya kipumbavu kutoka kwa wanasiasa wa uswahilini kujitafuta sifa kwa waswahili wajinga wajinga wasio jielewa
Wewe mwerevu umeshindwa hata kujenga ofisi pale Ufipa nyambaff kabisa
 
Yaani sisi wananchi tulipe kodi, halafu wanafiki fulani wanakuja wanatuambia mtu ambae hata kodi halipi ndie anapambana usiku na mchana kutuletea maendeleo. Ni ujinga na unafiki kiwango cha PhD.
Unalipa kodi gani bwege wewe. Hebu onesha tax clearance yako hapa. Mtapanuka mioyo bure
 
Unalipa kodi gani bwege wewe. Hebu onesha tax clearance yako hapa. Mtapanuka mioyo bure
Akili ya wenye upeo mdogo kama ya Digidigi hukimbia kutukana kuliko kutoa comments zenye logical sense. Wewe uko kwenye hilo kundi.
 
Tatizo lenu nyie mlioshikiwa akili na ccm mnadhani Kila anae pinga ujinga wa viongozi wenu ni chadema ndipo akili zenu fupi kama njia ya kwenda chooni zilipo ishia
Rejea uharo wako hapo juu ndipo utajijua wewe ni unafikiri kwa kutumia mananiliu
 
"Ndugu zangu niwahakikishie, Mhe. Rais Dkt. Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana na kuinua hali za maisha ya wananchi waliopo vijijini kwani umeme sio anasa bali ni jambo la muhimu kwa sasa," alisema Dkt. Biteko.
Shida iko kwenye kauli kama hizi zinazoashiria kuwa jukumu hili ni la mtu mmoja mwenye cheo cha "Rais" badala ya serikali yote chini ya huyo mtu aitwaye Rais..

Mtu mwenye cheo cha u - Rais hawezi kuleta umeme..

Mimi nadhani kauli sahihi inapaswa kuwa, "...Ndugu zangu niwahakikishie, serikali yenu inapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana na kuinua hali za maisha ya wananchi waliopo vijijini kwani umeme sio anasa bali ni jambo la muhimu kwa sasa," Alisema Doto Biteko..

Hii ndiyo statement sahihi inayoleta mantiki na maana na inayoashiria mshikamano..
 
Kumbe hili nalo zigo tu kazi kuimba mapambio anapambana vip yy ndio anakwenda kwenye nguzo anaacha kuwatia moyo wafanyan kazi wa wizara na vijana wa watu wanajitoa kwa moyo eti SAMIA ANAPAMBANA KWELI bure sana nalo hili
 
Aibu vijiji vya barabarani badala waingia ndani ndani huko umeme haupo,Kijiji hicho kipo karibu kabisa na kibaigwa
 
Tuliambiwa Serikali inapambana kutafuta soko la kuuza umeme nje ya Nchi

sasa hivi tunaambiwa tunapambana kupata Umeme wa uhakika

ni budi kuambiwa tumedanganywa sasa au kipindi kile ?
 
"Anapambana usiku na mchana" moja ya kauli ya kipumbavu kutoka kwa wanasiasa wa uswahilini kujitafuta sifa kwa waswahili wajinga wajinga wasio jielewa
style ya kutongoza enzi zetu

Silali usiku mzima nakuwaza wewe

usiku mzima nakuota Wewe
 
Safi sana.
Maendeleo ni sambamba na matumizi ya umeme.
Tanzania inahitaji si chini ya 10,000 Mw (Mega Watts) kwa miaka ya karibuni ili iweze kusukuma mbele gurudumu la maendeleo katika sekta viwanda vidogo/kati, kilimo, uvuvi, na utalii.
 
Upelekwe mirembe kwa machizi wenzio mapema kabla hujaanza kupiga watu mawe
Nani mzuri kwenu. Kila kiongozi wa hovyo. Ukiambiwa mheshimiwa Dr SSH halali manake ishu ya umeme ndiyo jambo linalomchukulia muda wake mwingi kuhakikisha analipatia ufumbuzi. Huwa najiuliza katika hali tu ya kawaida, hivi kweli pale ofisi ya UFIPA ni mahali salama na sahihi kwa DJ kufanyia vikao. Hivi wadhamini wenu kutoka "Ubiligiji" huwa mnawaonyesha UFIPA. Chukueni hatua kwanza kabla hamjaharisha humu. Bure kabisa
 
Usitumie kichwa kama kifuniko cha shingo nilikuambia na ninakuambia tena sio Kila anaepinga ufanyaji kazi wa serikali ni chadema lakini umekaza fuvu tuu, kama Raisi angekua anafanyia kazi suala la umeme usiku na mchana kama alivyo wadanganya doto kusingekua na tatizo la umeme, shida ya viongozi wenu wa ccm wanaleta siasa hadi kwenye vitu visivyo hitaji siasa zaidi ya utendaji, fungua hilo bichwa upate kuelewa kachukue akili uliko zitupa, shwuaini
 
Back
Top Bottom