Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

Hivi wewe Biteko naibu waziri Mkuu, ukitangaza kuwa wewe binafsi kuanzia leo hutapata usingizi mpaka wananchi wapate umeme wa uhakika, CCM na mwenyekiti wake watakufukuza kazi? 😲
 
Ndugu ChoiceVariable atakimbia huu uzi, bado Chawa Lucas mwashamba
Nikimbie Kwa Ajili ya nini? In fact Mimi nawachora tuu maana mlikuwa mnamtukana Makamba mnasema ameshindwa haya Sukuma gang wamewaletea mtu wenu holaaa ,saizi mnasema eti aje yule mbunge wa Chato Sasa sijui ndio atakuja na maji ya kujaza mabwawa.

Ni ushenzi tuu,umeme sio siasa ni sayansi hukuwekeza Kwa mda Fulani jiandae Kuna siku utaumbuka ndio kama saizi.
 
"Anapambana usiku na mchana" moja ya kauli ya kipumbavu kutoka kwa wanasiasa wa uswahilini kujitafuta sifa kwa waswahili wajinga wajinga wasio jielewa
Nilidhani Biteko ni Smart anaweza asijiingize kwenye kauli za kiwango cha Chini kiasi hiki. Kupambana usiku na mchana wakati Rais katuambia kero ya Umeme mpaka miezi sita????
 
Tulikuwa wangapi
 
Jamaa ni mpuuzi sana mpaka na mama yao yaani sisi wananchi wana tuona manyani
 
"Anapambana usiku na mchana" moja ya kauli ya kipumbavu kutoka kwa wanasiasa wa uswahilini kujitafuta sifa kwa waswahili wajinga wajinga wasio jielewa
Yaani sisi wananchi tulipe kodi, halafu wanafiki fulani wanakuja wanatuambia mtu ambae hata kodi halipi ndie anapambana usiku na mchana kutuletea maendeleo. Ni ujinga na unafiki kiwango cha PhD.
 
Nilidhani Biteko ni Smart anaweza asijiingize kwenye kauli za kiwango cha Chini kiasi hiki. Kupambana usiku na mchana wakati Rais katuambia kero ya Umeme mpaka miezi sita????
Hapo ndio utajua huwezi kumuamini wala kumtegemea kiongozi wa kisasa, yule bibi yuko anajipigia zake misele alafu chawa anakuja kusema eti "anapambana usiku na mchana"
 
Back
Top Bottom