Wewe mwerevu umeshindwa hata kujenga ofisi pale Ufipa nyambaff kabisa"Anapambana usiku na mchana" moja ya kauli ya kipumbavu kutoka kwa wanasiasa wa uswahilini kujitafuta sifa kwa waswahili wajinga wajinga wasio jielewa
Unalipa kodi gani bwege wewe. Hebu onesha tax clearance yako hapa. Mtapanuka mioyo bureYaani sisi wananchi tulipe kodi, halafu wanafiki fulani wanakuja wanatuambia mtu ambae hata kodi halipi ndie anapambana usiku na mchana kutuletea maendeleo. Ni ujinga na unafiki kiwango cha PhD.
Tatizo lenu nyie mlioshikiwa akili na ccm mnadhani Kila anae pinga ujinga wa viongozi wenu ni chadema ndipo akili zenu fupi kama njia ya kwenda chooni zilipo ishiaWewe mwerevu umeshindwa hata kujenga ofisi pale Ufipa nyambaff kabisa
Viongozi Wetu wengi they are politically cursed. Kauli za Kichawa ndio mtaji wao wa kulinda teuzi zaoHapo ndio utajua huwezi kumuamini wala kumtegemea kiongozi wa kisasa, yule bibi yuko anajipigia zake misele alafu chawa anakuja kusema eti "anapambana usiku na mchana"
Akili ya wenye upeo mdogo kama ya Digidigi hukimbia kutukana kuliko kutoa comments zenye logical sense. Wewe uko kwenye hilo kundi.Unalipa kodi gani bwege wewe. Hebu onesha tax clearance yako hapa. Mtapanuka mioyo bure
Logical sense ndio mdudu gani wewe mwenye upeo mkubwa.Akili ya wenye upeo mdogo kama ya Digidigi hukimbia kutukana kuliko kutoa comments zenye logical sense. Wewe uko kwenye hilo kundi.
Rejea uharo wako hapo juu ndipo utajijua wewe ni unafikiri kwa kutumia mananiliuTatizo lenu nyie mlioshikiwa akili na ccm mnadhani Kila anae pinga ujinga wa viongozi wenu ni chadema ndipo akili zenu fupi kama njia ya kwenda chooni zilipo ishia
Shida iko kwenye kauli kama hizi zinazoashiria kuwa jukumu hili ni la mtu mmoja mwenye cheo cha "Rais" badala ya serikali yote chini ya huyo mtu aitwaye Rais.."Ndugu zangu niwahakikishie, Mhe. Rais Dkt. Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana na kuinua hali za maisha ya wananchi waliopo vijijini kwani umeme sio anasa bali ni jambo la muhimu kwa sasa," alisema Dkt. Biteko.
Upelekwe mirembe kwa machizi wenzio mapema kabla hujaanza kupiga watu maweRejea uharo wako hapo juu ndipo utajijua wewe ni unafikiri kwa kutumia mananiliu
style ya kutongoza enzi zetu"Anapambana usiku na mchana" moja ya kauli ya kipumbavu kutoka kwa wanasiasa wa uswahilini kujitafuta sifa kwa waswahili wajinga wajinga wasio jielewa
Naona huu uharo ndio tax clearance yako.Unalipa kodi gani bwege wewe. Hebu onesha tax clearance yako hapa. Mtapanuka mioyo bure
🤣Naona huu uharo ndio tax clearance yako.
Nani mzuri kwenu. Kila kiongozi wa hovyo. Ukiambiwa mheshimiwa Dr SSH halali manake ishu ya umeme ndiyo jambo linalomchukulia muda wake mwingi kuhakikisha analipatia ufumbuzi. Huwa najiuliza katika hali tu ya kawaida, hivi kweli pale ofisi ya UFIPA ni mahali salama na sahihi kwa DJ kufanyia vikao. Hivi wadhamini wenu kutoka "Ubiligiji" huwa mnawaonyesha UFIPA. Chukueni hatua kwanza kabla hamjaharisha humu. Bure kabisaUpelekwe mirembe kwa machizi wenzio mapema kabla hujaanza kupiga watu mawe
Usitumie kichwa kama kifuniko cha shingo nilikuambia na ninakuambia tena sio Kila anaepinga ufanyaji kazi wa serikali ni chadema lakini umekaza fuvu tuu, kama Raisi angekua anafanyia kazi suala la umeme usiku na mchana kama alivyo wadanganya doto kusingekua na tatizo la umeme, shida ya viongozi wenu wa ccm wanaleta siasa hadi kwenye vitu visivyo hitaji siasa zaidi ya utendaji, fungua hilo bichwa upate kuelewa kachukue akili uliko zitupa, shwuainiNani mzuri kwenu. Kila kiongozi wa hovyo. Ukiambiwa mheshimiwa Dr SSH halali manake ishu ya umeme ndiyo jambo linalomchukulia muda wake mwingi kuhakikisha analipatia ufumbuzi. Huwa najiuliza katika hali tu ya kawaida, hivi kweli pale ofisi ya UFIPA ni mahali salama na sahihi kwa DJ kufanyia vikao. Hivi wadhamini wenu kutoka "Ubiligiji" huwa mnawaonyesha UFIPA. Chukueni hatua kwanza kabla hamjaharisha humu. Bure kabisa