Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

Toa ushahidi usilete vitu vya kufikirika chizi mkubwa wewe. Sote tunajua kwamba vyanzo muhimu vya uzalishaji wa umeme vimekuwa vikikumbwa na changamoto mathalan msukumo au presha ya gesi kutoka songosongo imepungua na kunafu gwa compressors kwa ajili ya kutoa gesi ya kutosha. Kina cha maji mtera na kidatu pia ni changamoto. Pia usisahau mahitaji ya matumizi ya umeme Yanaongezeka kwa kasi kutokana na kuongezeka viwanda vikubwa na vya kati.
Sasa bwana papasa unapokuwa mbishi tu na mtu wa kulalama bila kuweka nafasi ya kujifunza na kujua ukweli zaidi ya kuitwa nyumbu mzee wa UFIPA nini unastahili. Fanya utafiti, jua mambo halafu panua domo lako watu watakuelewa. Bure kabisa
 
Chizi ni wewe na wapuuzi wengine wenye mawazo kama yako, ambao mna danganywa kirahisi kama vitoto vya chekechea kila mnalo danganywa mnakubali tuu kama machizi, narudia tena kukuambia kichwa panzi wewe kama hao viongozi wako wa ccm wangekua wanafanya kazi zao ipasavyo kusingekua na tatizo la umeme, wewe umshafika kwenye hayo mabwawa ukaona maji yalivyo pungua? Hata hiyo mitambo wanayo sema imeharibika kwani iliharibika yote siku moja? lakini uzembe wao vitu vinahabirika lakini hawachukui hatua kwa wakati stahiki, alafu unakuja kupiga kelele hapa, rudi mirembe ukaendelee na dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…