Tanzania Na Uongozi Unaotia Kinyaa Yaani Zimeanza Kuingia Maana Siku Yoyote Tatizo Liko Pale Pale. Mvua Tele Shida Eti Maji Machafu Yameingia Bwawani
Walitaka waingize majenereta kwanza ndipo wawashe mtambo.

Juzi tu jenereta limepelekwa Mtwara halafu wanasema mtambo namba 9 umewashwa.

Hawa mbwa wanatuchezea sana akili zetu.
 
Mtambo namba 9 na 8 mnasema ipo taýari k,Mtueleze mtambo namba 1 hadi 7 inashida gani?!mbona hakuna maelezo?!
 
Tanzania Na Uongozi Unaotia Kinyaa Yaani Zimeanza Kuingia Maana Siku Yoyote Tatizo Liko Pale Pale. Mvua Tele Shida Eti Maji Machafu Yameingia Bwawani
Mkuu uamini uongozi wa Yanga kamwe hutajuta...
 
Huyu biteko hebu akae kimya kwahiyo an0atufanya sie waTanzania wapumbavu? Upuuzi mtupu
 
Apa tulipo Umeme Haupo Toka Mchana
 
Kutoka megawati 2000+ hadi megawati 470, hakika mama anaupiga mwingi
 
Yaani viongozi wa Kiafrika wanapenda kitu kinaitwa uzinduzi, ni muendelezo ule ule wa uswahili wa kucheza cheza ngoma na sherehe za kitamaduni...
Wanapenda shuguli aise
Utakuta hapo wasanii wataitwa
Kutumbuiza

Ova
 
Hivi Rusumo HEP nayo inafunguliwa lini? Taarifa nilizonazo ni kuwa mradi umeishakamilika.🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…