Kwanza muda mfupi kuliko sehemu nyingine,kongoreKama bwawa la Nyerere limeshaanza kuzalisha umeme. Mama samia ametisha kwa kuendeleza magufuli alipoishia
Unaumia sana JPM akitajwa kwa mazuri yake!Acha unafiki, akifeli huwa mnasema Samia kafeli. Akifanikisha jambo ndio mnamhusianisha na JPM!!
Kwani januari alikuwa hafanyi ukarabati wa mitambo mpaka kuna kuwa na mgao?Kwani aliyekamilisha bwawa hadi mageti kushushwa na maji kujazwa alikua nani? Acheni chuki January aliwapisha ila bado mgao mmefeli kuumaliza, sasa mkishindwa bado lawama kwake?
Hv Hayo maji yanayopita c pia yanapita kwenye sehemu zingine ambazo hakuna hizo mashine au.?Kuna mashine tisa leo wamewasha ya kwanza bado nane mkuu
Kila mashine itatoa megawatts 270+
Mtwara mpaka jana walikuwa hawajaungwa na grid ya taifa wanatumia chanzo chao kuzalisha umeme, huenda ndio kinaongezewa nguvu.Walitaka waingize majenereta kwanza ndipo wawashe mtambo.
Juzi tu jenereta limepelekwa Mtwara halafu wanasema mtambo namba 9 umewashwa.
Hawa mbwa wanatuchezea sana akili zetu.
Huku kwetu hauwaki hata muda huuUlipo umeme umekatika leo?
Bwawa lilipochelewa mlisema January anahujumu na Samia amefeli..... ila likikamilika ndio sifa kwa JPM!! Acheni unafiki nyie CCM kama mmefeli basi mmefeli sio tena akifeli mnamruka akifanikiwa mnajiungamanisha.Unaumia sana JPM akitajwa kwa mazuri yake!
Mlisema anadanganya ili auze majenereta!! Cha ajabu kaja Biteko mgao ndio umeongezeka mara dufu..... vipi naye ana tender ya majenereta?Kwani januari alikuwa hafanyi ukarabati wa mitambo mpaka kuna kuwa na mgao?
Samia ametisha kwa kuendeleza Magufuli alipoishia ? Kwani Samia alitegemewa aachane na ya Magufuli azue miradi yake mipya ya umeme wa makaa ya mawe ?Kama bwawa la Nyerere limeshaanza kuzalisha umeme. Mama samia ametisha kwa kuendeleza magufuli alipoishia
Unafahamu bei ya umeme haijapanda kwa karibu miaka 15+ vitu vingine vyote bei zimepanda kasoro umeme tuMama kama anataka kupiga bao hiyo siku ya uzinduzi atangaze na bei ya punguzo Kwa UNIT moja
Mkuu Acha kabisa haka kakitu kanakoitwa binadamu........ni moja ya sababu inayonifanya niamini aana uwepo wa siku ya hukumu ya mwisho maana haiwszekani dhambi kama hz za h7sda na chuki na wivu zisipate hukumu yake.Kwani aliyekamilisha bwawa hadi mageti kushushwa na maji kujazwa alikua nani? Acheni chuki January aliwapisha ila bado mgao mmefeli kuumaliza, sasa mkishindwa bado lawama kwake?
Wewe chadema unaona hili siyo jema kabisa, na hoja zenu zinazidi kumalizwa unapata hasira sana, na bado mpaka June 2025,mtakuwa hamna hoja ya msingi ya kumueleza mtanzania ikamuingia akilini,stay tune,Takataka TU
Of course afanye hivyo, ili kupunguza makali ya maisha.Mama kama anataka kupiga bao hiyo siku ya uzinduzi atangaze na bei ya punguzo Kwa UNIT moja
Kumbuka tubine huwashwa kwa awamu, mpaka kumaliza zote tisa (9).uwe unatumia akili.Kutoka megawati 2000+ hadi megawati 470, hakika mama anaupiga mwingi
Wanapenda shuguli aise
Utakuta hapo wasanii wataitwa
Kutumbuiza
Ova
Wewe ndiye umemnukuu vibaya, au labda hukuelewa alichosema. Amesema kuanza kazi kwa mashine #9 kutapunfuza mgao wa umeme kwa asilimia 85. Kwa hiyo kuwashwa kwa mashine #8 mwezi March ndiko kunategemewa kumaliza kabisa upungufu wa umeme kunakosababisha mgao.Huyu Mh alinukuliwa hivi karibuni akisema kuwa hajui mgao utaisha lini. Leo anasema umeisha. Hapa ninapoandika ujumbe huu hakuna umeme hapa nilipo. Hii inji ni pasua kichwa kweli kweli
Kutoka megawati 2000+ hadi megawati 470, hakika mama anaupiga mwingi
Ile kauli yako ya watumishi wa Tanesco wasiende likizo, Je Sasa waende likizo au umemsahau?Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko ameshuhudia uwashwaji wa mtambo namba tisa katika bwawa la kuzalisha umeme la Julis Nyerere JNHPP ambao umeanza kusambaza umeme megawat 235 katika gridi ya Taifa.
Akishuhudia uwashwaji wa Mtambo huo wa kuzalisha umeme Dkt biteko amesema uzalishaji huo wa megawat 235 utapunguza mgao wa Umeme kwa asilimia 85 na hivyo wananchi wataondokana na kero ya umeme.
"Hata hivyo uzinduzi mi wa mitambo miwili, mtambo namba nane na mtambo namba tisa utafanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwezi ujao wa tatu ambapo mitambo yote hiyo miwili itakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme megawati 470" amesema Dkt Biteko
Pia soma:
- Dkt. Biteko: Nataka niwahakikishie tutawapa umeme Watanzania