Biti la Trump limefanya kazi huko Gaza

Ni lini Israel ilikwambia kuwa inafahamu mateka walipo..?
Yaani Netanyahu afahamu location ya mateka, na bado ashindwe kuwakomboa.
 
Ni lini Israel ilikwambia kuwa inafahamu mateka walipo..?
Yaani Netanyahu afahamu location ya mateka, na bado ashindwe kuwakomboa.
Utawakomboaje mateka waliozingirwa na adui yako?

Mbona mnarahisisha tu mambo namna hiyo.

Siyo rahisi kuwakomboa mateka halafu ufanikiwe kuwakomboa wakiwa hai.

Haya, soma hii.

 
Kwani wamekaa meza moja kula tende?

Walichokibaliana ni Israel kuacha kuinyuka Hamas na Hamas kiwaachiq mateka ilionao.

Hamas ikikiuka hayo makubaliano, kibano ki aendelee mpaka mfyekwe kabisa katika uso wa dunia.
Ukiona hivyo,ujue,wanamgambo,wameshinda vita.Taifa kubwa,znayesaidiwa na,Marekzni,kukubaliana,na wanamgambo,waliowaita,magaidi,wanakaa nzo meza moja,na,kuwaomba wasitishe mapigano.
 
We jamaaa kumbe mweupe kias ichi sasa wapige carpet bomb Gaza wakati kuna nchi zenye nguvu zinamshambulia Israel kila siku kama iyo Iran kupitia Yemen uko Israel awakuwa na uwezo kuzuiya silaha za Iran vip ujichanganye kutumia carpet boom!!!!
 
✅ Wafungwa 30 wa Kipalestina wataachiliwa kwa kila mateka 1 wa Israel
✅ Wafungwa 50 wa Kipalestina wataachiliwa HURU kwa kila mwanajeshi 1 wa kike wa Israel
✅ Israel itajiondoa kabisa Gaza

Hahahaa eti Biti la Trump😂
Unamaanisha kwamba mateka mmoja tu wa ki Israel thamani yake ni sawa na wapalestina 30?,mwanajeshi mmoja wa kike ni sawa na wapalestina 50?.

Kwa hiyo Israel wako sahihi kuwaangamiza wapalestina zaidi ya elfu45 kama fidia kwa raia wake 1200 waliouawa na Hama's? pia Israel wasilaumiwe kwa kuiacha magofu Gaza na kuwauawa viongozi wakuu wa Hama's na Hezbollah kwa ajili ya kujaribu kuwaokoa mateka zaidi ya 200 wa ki Israel na wa ki Tanzania waliotekwa?,kwa hiyo unamaanisha kuwa thamani ya muyahudi ni kubwa kuliko mpalestina?.
 
Huwezi kujieleza vizuri ukaeleweka?
 
Kwani wamekaa meza moja kula tende?

Walichokibaliana ni Israel kuacha kuinyuka Hamas na Hamas kiwaachiq mateka ilionao.

Hamas ikikiuka hayo makubaliano, kibano ki aendelee mpaka mfyekwe kabisa katika uso wa dunia.
Wejamaaa ivi unajua Israel imezika watu wangapi kupitia vita ivi awana hamu ya vita waisrael na wala waisrael awatokuwa wachokozi kama mwanzo vile VIFO vitawafikilisha sana .maguvu sio kitisho kwa wapalestina waisrael wenye akili waliokimbia awarudi kuishi pale air defence awana!!!! Litawaogopesha wengi ndani ya Israel.
 
Uharo mtupu.
 
Wewe unajua Israel imezika watu wangapi?
 
Umeweka hisia zaidi kuliko uhalisia, pole sana.
 
😀
 
Gharama za kuirudisha Gaza kwenye ubora wake ni takriban usd 70b. Hasara ya moto wa marekani mpaka sasa imefikia usd 275b na bado moto unaendelea kuwaka
Gaza wamefariki wangapi? Na Carlifornia wamefariki wangapi?
 
Ila yote kwayote itakua ngumu sana mpalestina kulianzisha tena kwahawa vichaa mayahudi, mana moto wamejionea wenyewe
 
Team Lissu udini mumeweka mbele
 
Like, are you serious? You can sit there and with a straight face claim that Hamas won?

Reeeaally? Causing unspeakable and unmitigated suffering is a win?

Okay 🤣.
Smortrich, however it's spelled'..amepinga cease fire akiita ni kusalimu anti mbele ya Hamas,na katishia kuhamasisha kujitoa kwenye muungano na netanyahu, trump hatotoa hela za vita israel,ndiyo maana biden anaharakisha msaada wa mwisho kwa israel, hakuna beat la kuitisha hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…