Black Lives Matter: Images from around the world

You've totally missed the point Mokaze.
Okay let's do this,

Me: CANCER ya vizazi kwa wanawake ni hatari na wengi wamekuwa wagumba na kupoteza maisha. Tupambane kutokomeza huu ugonjwa.

YOU: Cancer zote ni hatari au magonjwa yote ni hatari so Kusema saratani ya vizazi ndio hatari maana yake unasema zilizobaki siyo hatari.

Ndio tunajua cancer zote au magonjwa yote ni hatari lakini sicho tunachokizungumzia hapa. Hii ni campaign kwa ajili ya wakina mama wanaopoteza maisha na vizazi kwa sababu ya cancer ya vizazi. Usilazimishe tujumuishe magonjwa yote kwa sababu dhumuni la saratani ya vizazi itapoteza nguvu kwenye kutatuliwa.

Unapochagua jambo moja na kuamua kudeal nalo inaleta maana tofauti na issue za generality.

Wewe unadhani kwanini kuna campaign za HAKI ZA WANAWAKE? Haki za WATOTO , haki za Wajane? Unadhani hii ina maana waliobaki hawana haki? Au hawatakiwi kuwa na haki?
 

Madonna akishiriki kwenye maandamano London Jana.
Kama unaishi nje ya nchi hasa Europe na America. Jaribu kushiriki kwenye haya maandamano, mengi ni peaceful. Hii ni kwa manufaa yako na hasa kizazi kijacho. Mpaka Madonna ambaye ni mweupe na Limited mobility lakini ameona umuhimu wa kushiriki!
 
 

kabisa mkuu na huo ndio ukweli, always blacks tunademend kupatiwa special favour
 
Very clear and no other way to explain it.
 

huyo dada akili zake hazipo sawa, musimfanye nguzo yenu
 
Good points!

Halafu tatizo jingine ni kwamba, kwa Marekani ni kama vile mauaji ya weusi kwa weusi, watu hawataki kuyasikia. Ni kama wanayafumbia macho.
 

Huyo alotupa mgongo Nedherlands anaita aisee
 
African Amercan ni raia halali wa USA. Au siyo kweli?
Why wachina, waarabu, wahindi waandamane wakati wanauwezo wa kurudi kwenye nchi zao hata kama watetendewa ndivyo sivyo?.
Black Americans wakimbilie nchi gani? Acheni watu watoe nyongo zao kama raia halali. Mnataka wavumilie yasiyo sawa ndani ya nchi yao?
Mkibaguliwa nyie hapa Tz mtakaa kimya? Wakisema wanabaguliwa wao ndo wanajua wanabaguliwa vipi nyie wa buza huku acheni kuingilia mambo ya wamarekani.
Ngoma msiyoicheza hamjui ladha yake. Kila siku mnasema Magu anapendelea wasukuma , Mara wachaga wana Ubaguzi sijui Ukanda. Mara chadema haijali watu kutoka makabila wengine. Pambaneni na mambo yenu ya ndani kwanza.
 
tatizo hawa watu wanaandamana halafu hawana hata specific reforms ambazo wanazitaka
wanadai Polisi wanaua zaidi watu weusi, ila ukichambua data za za uhalifu na mauaji ya polisi, utaona weusi ndio wana tatizo, ila wanakuita mbaguzi
ukiangalia haya maandamano bila bias utaona ni yamejaa tu unafiki
 
Well,,
Nice argument.
Good for you.
 

Safi sana, waache wenyewe wajipiganie na hawa wengine wote wa London, Paris, Nairobi & Co. ni wanafiki tu na hawajui chochote na wala hawana uchungu wowote na maisha ya Black man in Amerika, isitoshe usisahau kwamba Black on black crime and homicide inatokea kwenye black run Cities kama Baltimore, Detroit au Chicago hata George Floyd ameuliwa kwenye State inayoongozwa na liberals ambao ndio masponsor wa BLM, ...
 
Ndo maana nimesema ngoma usiyoicheza hauwezi kujua ladha yake.
Unadhani wanachokidai kingekuwa si kweli wangeachwa waandamane? Kwenye maandamano watu weupe ni wengi sawa au pengine hata zaidi ya weusi. Hawajui wanachokipigania? Wakati hata watu weupe wanaona watu weusi hawatendewi haki sisi waTz wa Buza huku tunasema "adui wa blacks ni blacks" vifua mbele bila aibu.
Wazungu wameungana na na weusi kupigania haki huku sisi tunaenda kinyume na watu weusi wa marekani. Ndo uadui mwenyewe huu tunaouongelea.
Kweli watu weusi hatupendani. Ndo maana ni rahisi kutawaliwa kwa sababu hatuna umoja.
 
Safi sana, waache wenyewe wajipiganie na hawa wengine wote wa London, Paris, Nairobi & Co. ni wanafiki tu na hawajui chochote na wala hawana uchungu wowote na maisha ya Black man in Amerika, ...
Mimi nikisema nimelala njaa au ninahisi njaa unatakiwa uniamini kwa sababu mimi ndiye ninayehisi sio wewe.
Kama unaupendo show love kunipigania nipate chakula na siyo kwenda kinyume na mimi kwamba sihisi njaa. Na ndicho wanachokifanya dunia ya watu wenye uelewa kwa black Americans.
 


Lakini Dunia haiko fair hivyo jinsi unavyoifikiria wewe, hakuna mtu baki atakayekujali kuliko unavyojijali wewe, ...
 
wameachwa waandamane kwa sababu ni haki yao kuandamana. na sio wote wanaoandamana,pia wapo weupe wengi wasiounga mkono hayo maandamano
Wapo weusi wengi wa Marekani wanaoona haya maandamano hayana hoja ya msingi,
Sio lazima watu weusi wote tukubaliane na jambo moja kama manyumbu, watu weusi ni independent thinkers na wana uhuru wa kutofautina maoni
Hii dunia ni kijiji, kama ungekuwa unafuatilia hoja za haya maandamano na hoja za kuyapinga, ungeona wanaoyapuuza wana hoja za msingi kuliko hawa waandamanaji, ila kwa kuwa wewe ni mfuata mkumbo hutaweza
 
Lakini Dunia haiko fair hivyo jinsi unavyoifikiria wewe, hakuna mtu baki atakayekujali kuliko unavyojijali wewe, ...
Lakini angalau wanaonesha kujali hadharani hayo mengine watajua mwenyewe mioyoni mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…