Black Lives Matter: Images from around the world

Hata viongozi wa nchi wakubwa huko nimeona wakisapoti #blacklivesmatter . Sisi wabuza huku Mungu ndio anayejua tunachokifanya.
Sina muda wa kufuatilia hoja za wanayoyapinga. Ila yangepingwa na viongozi wa nchi ningepata taarifa mwenye radio yangu ya mbao hapa. Taarifa ninazopata ni hata hao wanasikitika.
 
Ndio wapo viongozi wanayoyaunga mkono, lakini pia wapo wasiyoyaunga mkono,
Lakini viongozi Ni wanasiasa, na wanasiasa wataunga mkono kinachoendana na narrative yao
 
Ndio wapo viongozi wanayoyaunga mkono, lakini pia wapo wasiyoyaunga mkono,
Lakini viongozi Ni wanasiasa, na wanasiasa wataunga mkono kinachoendana na narrative yao
Hao wasiounga mkono wamekemea hadharani? Wamesema popote hadharani kwamba watu wanaandamana kwa sababu zisizo za msingi?
Naongelea viongozi na watu wakubwa kwenye nchi ambao wana ushawishi mkubwa.? Wapo?
 
Waziri Mkuu wa Uingereza hajaunga mkono, Australia haya maandamano yalipigwa Maraufuku, hata Trump mweneyewe hakuyaunga mkono
 
Waziri Mkuu wa Uingereza hajaunga mkono, Australia haya maandamano yalipigwa Maraufuku, hata Trump mweneyewe hakuyaunga mkono
Waziri mkuu wa UK alionesha kusikitika kwa kilichotokea na akawataka maandamano yawe ya amani.
Kila aliyeogopa maandamano hakutaka vurugu na siyo maandamano yalionekana hayana maana.
Hata Trump alichopinga ni vurugu ile uharibifu wa vitu na sio maandamano.
 
Hoja ya waandamanaji wanasema kuna ubaguzi mkubwa wa kimfumo USA na UK, hawa viongozi wamekataa hakuna ubaguzi wa kimfumo,kuna baadhi ya watu wabaguzi
Pia waandamanaji walikuwa wakiharibu vitu wakidai riot is the language of the unheard, wakimaanisha hawajawahi kusikilizwa ndio maana wanaharibu vitu, baada ya kukemewa na jeshi kutumika wakaachana na huo msimamo wao
wengine hawayaungi mkono lakini wanakaa kimya tu bila kuya promote
 
Weka source inayoonesha hayo uliyoyasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…