Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi ni mlango wa kuzimu. Yaani pale utakapozikwa ñdipo lango Lako la kuzimu lilipo.
Kaburi ni kama stendi ya mabasi àmbapo Wafu husubiri wenyeji waô kûja kuwachukua kwenda kuzimu.
Kwa wanaoamini kûna Maisha baàda ya Kifo íwe kufufuliwa kiyama au Maisha ya kuzimu wanajua umuhimu wa Mtu kuzikwa kwèñye makaburi ya Nyumbani, Kwao au makaburi ya Ûkoo.
Ni muhimu Mume, Mke na Watoto kuzikwa sehemu Moja. Kwa wale wanaoamini mambo ya Maisha baàda ya Kifo. Lakini kama Mtu haamini Hakuna umuhimu.
Ibrahim Baba wa Imani alijua Fika kuhusu Jambo hili.
Yusufu kadhalika àmbaye alitoa Wosia kuwa kama atakufa katika nchi ya ugenini yàani Misri Basi Siku àmbayo Waisrael watarudi Kanaani wachukue Mifupa Yake. Na Miaka 200 baadaye Waisrael walitimiza Kile walichoagizwa na Yusufu wakachukua Mifupa ya Yusuf na kuirudisha Kanaani.
Kuzikwa ugenini ni Sawa na kuifanya Roho kuwa chokoraa.
Suleiman anasema, Kheri Mimba iliyoharibika kuliko Maiti iliyokosa Maziko.
Kwèñye taratibu za mazishi Mojawapo ni kuzikwa Eneo la Ufalme wenu, ûkoo wenu.
Kumzika Mtu kwèñye Ardhi isiyoyao ni Sawa na kumtelekeza Mtu kituo cha Basi huku ukijua anapokwenda hapajui na hakuna wa Kumpokea.
Kaburi ni kama Mimba ya kuzaliwa kuzimu.
Kuzikwa kwenye kaburi àmbalo hukupaswa kuzikwa NI Sawasawa na Mimba kutunga kwèñye tumbo la Mwanamke(Mji wa Mimba) Usio sahihi Jambo ambalo linaweza kuleta matatizo Kwa kiumbe chilichopo tumboni àmbapo Mimba hutoka au hufia humohumo tumboni.
Tuacheni na mada hii.
Turudi kwenye mada ya nini kinafanya waganga wa kienyeji kuwatuma wateja waô kwenda makaburini.
MAkaburini kûna Wafu wa Aina Mbili Kulingana na Umri wa kustahili Kufa na Kutumia Rasilimali zào.
1. Wafu àmbao wamekufa Kabla ya Wakati waô àmbao hawajatimiza Ndoto zào.
2. Wafu waliokufa Kwa Wakati waô na wakiwa wametimiza kusudi na Ndoto zào Hapa Duniani.
Hii NI Sawasawa na Mganga kumtuma Mtu akatafute kitoto kichanga kilichokufa Kulingana na masharti atakayompa mteja. Kwani Mtoto mchanga akifa huondoka na Ñyota na kusudi lake. Hivyo Mganga hutumia Sayansi ya Giza kuteka zile Ndoto na kusudi la kitoto hicho zihamie Kwa mteja Wake.
Mtu anapotumwa Makaburini mara nyingi hutumwa kwèñye makaburi àmbayo yanawafu waliozikwa kimakosa sehemu àmbayo sio Yao kwani Roho zào zinakuwa hazina ulinzi.
Mganga hawezi kukutumia kwèñye makaburi ya Ûkoo WA Watu Fulani Kwa sababu Ile ni himaya na siô rahisi kuivamia.
Mfano, Peter ni mwenyeji wa Arusha, Wazazi wake na ûkoo wake wamezikwa Arusha. Lakini Juma akazikwa Morogoro.
Kaburi la juma Katika ufalme wa Roho litakuwa na matumizi mengi ya mambo ya Ñguvu za Giza kuliko angezikwa Kwao.
Mwanadamu hurithi Ndoto, makusudi na Baraka Kutoka Kwa Wazazi na mababu Zake kiroho.
Halikadhalika hurithi na Laana, Mikosi,
Unapozikwa nje ya Ufalme wenu unatengeneza mazîngira ya maadui kuchukua Ñguvu na Baraka zenu na kuwaachia Watoto au kizazi chako Laana au mabalaa pekeake.
Mganga huamrisha Ñguvu, Baraka, Bahati zote za mfu aliyepo kaburini àmbaye amekufa na Baraka Zake hazikutumika kuhamia Kwa mteja Wake alafu mabalaa yôte na Mikosi na Laana za mteja zinaachwa Kwenye lile Kaburi
Ukiwa hai unapofanya Wema siô kîla Wema utalipwa thawabu au Baraka, Wema Mwingine watalipwa Watoto wako au kizazi chako Sasa endapo utakufa alafu Wema huo àmbao hukulipwa àmbao inategemewa wangelipwa kizazi chako lakini Kwa uzembe tenà Wema huo unaibiwa na wahuni, maharamia katika falme za rohoni.
Kûna Kisa kwèñye Biblia ambacho Kaburi la Elisha alipozikwa Mtu Fulani Yule Mtu alifufuka Kulingana na Ñguvu zilizokuwa katika kaburi la Elisha.
Siô ajabu zîpo jamii nyingi Duniani ambazo Wana desturi ya Mtu akifa lazima azikwe kwèñye Ardhi ya Nyumbani lakini ukiuliza sababu ya maana hutopewa.
Leo nimekugusia sehemu ndogo ya sababu ya desturi hiyo àmbayo hata kina Ibrahim waliifanya.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam