Black Magic: Siri ya Kwanini Watu hupelekwa Makaburini na Waganga

NImejifunza kitu kikubwa sana! Hasa kwenye mambo ya kiroho ambayo ndio yanabeba HATMA zetu hapa duniani.
Shukrani sana ndugu
 
Akaambiwa aende akatoe dawa zake na hela na amludishe alale
Uyu hakufata taratibu za kuingia kule ndo mana apo juu nilisema kuna taratibu za kuingia kwenye yale makaz na kuna taratibu zake za kutoka ili wasikuSumbue sasa yeye kaingia kama anaingia disco😂😂😂 wakat watu wamejipumzikia zao kule wana stres zao za maisha ya upweke kwenye makaz yao ya milele alafu we uende tu kienyeji kuwachanganyia mafaili,weee lazima likukute jambo😂😂😂😂😂😂🔥🔥
 
Na alikosea kweli... Kilichomkuta alinyooka mbona mpka naonana nae u slay wote kwisha
Uyu hakufata taratibu za kuingia kule ndo mana apo juu nilisema kuna taratibu za kuingia kwenye yale makaz na kuna taratibu zake za kutoka ili wasikuSumbue sasa yeye kaingia kama anaingia disco😂😂😂 wakat watu wamejipumzikia zao kule wana stres zao za maisha ya upweke kwenye makaz yao ya milele alafu we uende tu kienyeji kuwachanganyia mafaili,weee lazima likukute jambo😂😂😂😂😂😂🔥🔥
 
Uyu hakufata taratibu za kuingia kule ndo mana apo juu nilisema kuna taratibu za kuingia kwenye yale makaz na kuna taratibu zake za kutoka ili wasikuSumbue sasa yeye kaingia kama anaingia disco😂😂😂 wakat watu wamejipumzikia zao kule wana stres zao za maisha ya upweke kwenye makaz yao ya milele alafu we uende tu kienyeji kuwachanganyia mafaili,weee lazima likukute jambo😂😂😂😂😂😂🔥🔥
Lakini pia kuna marehemu watata sana usisahau hilo.
 
1)ROHO zinakuwa KUZIMU kama mtu alikuwa mtenda dhambi alipokuwa hai au MBINGUNI kama alikuwa mtenda mema asiye na dhambi.

2) Pale makaburini kama kaburi lilikuwa ni la mwenye dhambi alipokuwa haibasi ni rahisi kutumiwa na waganga,wachawi,majini,mizimu na mapepo kama kaburi lilikuwa la lilikuwa la mtu mwema alipokuwa hai linakuwa linalindwa na malaika haliwezi kutumiwa na hao(waganga,wachawi,mizimu,majini nk)
SI MAKABURI YOTE YANATUMIWA MENGINE YANALINDWA NA ULINZI MKALI HAYASOGELEKI HAYASHIKIKI kwa nia za kishirikina(uganga na uchawi).

3)Kwa vile makaburi ni mlango wa kizimu kwa maana ya makaburi ya wenye dhambi tu ambao ndio wengi kiliko wachache waliokufa wakiwa watakatifu wasio na dhambi.
BASI makaburi yao yanakuwa ni mlango wa kuongia na kutoka kuzimu ,pia yanakuwa ni maskani ya ibada za kishirikina.

4)Anayeonekana katika makaburi ni pepo au roho au jini aliyevaa sura ya marehemu akajitambulisha kama mzimu akijinasabisha na marehemu aliyekufa katika dhambi,akiwadanganya ndugu ukoo wa marehemu akijiita mzimu ila ni jini na si roho ya marehemu husika.
Kwa sababu roho ya marehemu husika tayari ipo kwwnye hukumu.Majini na shetani ndio huwa wanaranda randa kuzunguka duniani na kuzimu.Na ndio hao wanaononekana makaburini katika sura mbalimbali .

sehemu nyingine ambazo ni milango ya kuzimu ni chooni ,baharini,maziwa ,mito,visima vya maji,madimbwi,n.k

SIFA KUU YA HAO NI UONGO.NILICHOKIANDIKA HAPA NDIO UKWELI ninaoufahamu ambao hata baadhi waganga na wachawi wengine hawaujui mana na wao wanadanganywa tu,
ila neno hili sio sheria.Si lazima uamini .
 
yani nikupe mfano mmoja tu kwa wanaosoma biblia
Habari ya tajiri (aliyeishi maisha ya dhambi duniani) na Lazaro masikini ,hii habari ali isema YESU mwwnyewe na Yesu hasemi uongo.
Tajiri (mwenye dhambi)alipokufa alienda kuzimu na kuanza kutumikia adhabu na lazaro alipokufa alienda mbinguni.
TAJIRI aliomba ruhusa apewe nafasibya kuja duniani tena kwa nia njema ya kuhubiri injili au kuwaasa watu wasiishi maisha ya kutenda dhambi kama yeye alivyoishi akiwa hai duniani kabla hajafa hasa ndugu zake ili wasije wakaishia kuzimu ya mateso .LAKINI hakuruhusiwa aliambiwa walioko duniani tayari wanahiburiwa na wahubiri walioko duniani wasipowasikiliza hao wanaowahubiria habari njema kila siku waache dhambi hata wewe ukienda kutoka huku kuzimu hawatakusikiliza.
POINT NI HII ,
MTU AKISHAKUFA NDIO IMEISHA HIYO KI UKWELI KWELI HUYO HAWEZI KURUDI TENA AONEKANE DUNIANI.mana roho yake itakuwepo kule aliko wekeza matendo yake akiwa hai duniani.ukiona ndotoni au popote makaburini au wapi mara nyingi inaanzia ndotoni unatokewa na sura za marehemu ,ujue ni majini yaliyovaa sura ya marehemu ndio tafsiri ya mzimu.
ILA KWA HAO MISUKULE hawa wanakuwa hawajafa ni kiini macho.
NASIKITIKA HIVI VITU HAVIELEWEKI NA WENGI ,BADALA YAKE WATU WANAFAHAMU UONGO TU.UONGO UONGO .Hata ndugu zangu wachaga na makabila mengine ,nasema wachaga kwa sababu na mimi ni nusu mmarangu mchaga ,nafahamu nikivyopata tabu kumtoa mzazi wangu aachane na ibada za mizimu ,matambiko makaburini,mana kuabudu mizimu ndio ilikuwa mila halali yani nilipata kazi sanaa kumbadilisha ,kanisani anaenda lakini mizimu pia anaabudu MILA ilikuwa kazi sanaa yani anangangana ni mila zetu.NASHUKURU NEEMA YA MUNGU IMESAIDIA..HII MIZIMU NI MAJINI SIO WALE MAREHEMU TULIOWAZIKA.
Tunaoabudu mizimu unatakiwa ujue ,mizimu ni majini yaliyovaa sura ya marehemu tena marehemu mwwnye dhambi aliyekufa katika dhambi ambaye yeye roho yake inateseka kuzimu,huku duniani watu wanaabudu kaburi lake na kulitolea kafara na anawatokea ndotoni.MUNGU ATUSAIDIE KUJUA UKWELI .
 
Lakini pia kuna marehemu watata sana usisahau hilo.
Ndo hakufata utaratibu lile n eneo la watu kama makaz mengine ukiingia bila hod n sawa na kuwavamia lazima wadil na wewe tena wale marehem watat ndo wanalianzishaga 😂😂😂
 
mpka naonana nae u slay wote kwisha
Lazima aishe mana wale ukienda kichwa kichwa n wakal mno tena sana,ila ukienda nao sawa wao wenyewe wanaweza kukupa dawa kutoka chin ya kaburi unatoka mkono kwenye kabur unakupa dawa uliyo taka ama kuomba🤒🤒
 
Mlango wa kuingilia na kutokea kizimu haimaanishi ni lazima shimo liwe refu sana mpaka kutokea kuzimu.Ila kuna nguvu ya miujiza inayowezesha mawasiliano ya watu kutoka na kuingia kuzimu kwa njia ya miujiza.
 
kwa hiyo wakiendelea kuchimba zaidi ya futi 6 wanafika kuzimu?

We jamaa..
hapana haihusiani na urefu wa kina cha shimo kwenda chini,ila ni nguvu za miujiza ndio huwezesha mawasiliano na kuzimu kwa njia ya miujiza.Ambapo kuna watu waliopo diniani wanaweza kwenda na kurudi kuzimu (KU VISIT)kwa njia mbalimbali za kimiujiza na walioko kuzimu wenyeji wa kuzimu wanaweza kuja KU VISIT duniani na kurudi nyimbani kwao kuzimu (hawa ni majini nashetani,sio wafu).
 
Heshima Zenu wakuu🙏

Wakuu huku Kanda ya Ziwa jambo kuwa na mganga /mtaalamu wako ni kawaida kabisa kama ninyi huko kuwa na Daktari wako Ambae shida yoyote ikijitokeza basi unamwelezea hata simu ndo akuambie nenda kapime hiki na kile then majibu unitumie.

Kanda ya Ziwa Sasa nao wako hivyo Kwa kinyume chake badala ya madaktari wao Wana waganga kalumanzila au sangoma Kwa majina maalufu.

Naungana na Uzi wa PharaohMtakatifu ulikuwa unasema. Kanda ya Ziwa Kila familia Ina mganga wake.(Sijui kuuleta hapa Uzi naomba Moderator mlete hapa pia huo Uzi yaani link yake tu)

Na sema hayo nikiwa mwenyeji wa huko wa kuzaliwa na kuishi huko pia. Ule Uzi una ukweli 100%

Ule Uzi umeelezea matukio kadhaa kausomeni mtaona mengi sana na sitaki kuyaleta hapa.

Sasa huku Kanda ya Ziwa alichokisahau Mr PharaohMtakatifu ni kuwa Kuna shule za kufundishwa uchawi,ushirikina Kwa tiketi ya uganga wa kienyeji na kunakuwa na leseni kabisa. Na Kila mwaka wahitimu zaidi ya 300 wanahitimu uganga.

Kwa kifupi mganga na mchawi ni mapacha waliofanana kabisa yaani kulwa na dotto. Asikudanganye mtu kuhusu hili nimeishia Kwa waganga najua sehemu kubwa sana.

Kuna kitu huitwa shingila(yaani ni kitu fln ama kiungo Cha Mnyama ama mtu huhitajika Ili kuifanya dawa Ile ikamilike na kufanya kazi) hapo ndo utasikia unaambiwa katika dawa hiyo kalete mchanga wa baharini ama kalete jino la mtu aliyepata ajari ama hata damu ya kondoo mweupe mwili mzima au nywele za maiti. Hizi ndo huitwa shingila sijui jina lake Kwa kiswahili.

Piga picha watu wanahitimu zaidi ya 300 Kila mwaka kwenda kuanza uganga wee unadhani hii ni idadi ndogo?
Tuyaache hayo .

Sasa ijue Dawa ya (msalaba) Bhunganga wa Nsalaba.

Hii Dawa wengi sana wamekuwa wakiitumia wenye uchu wa kupata Mali kwani wanasema masharti yake ni nafuu sana na Haina masharti makali kama kuua na kafara za watu.

Baadhi ya masharti ya Bhunganga wa Nsalaba ni:-

Hutakiwi kuchepuka. Moja ya shart gumu ni hili hupaswi kabisa kuwa na mchepuko hata mmoja au hata Kwa bahati mbaya hutakiwi.

Badala yake unaruhusiwa kuongeza mwanamke mwingine kadiri uwezavyo isipokuwa tu kuzini. Mara ukifanya hivyo basi utajiri wako utaisha ghafla sana.

Haitakiwi uwe mchafu. Dawa hii inakulazimu uwe msafi muda wote. Mara zote inatakiwa nguo ziwe safi na unyunyu Kwa mbali kama utaweza. Hata kama unafuga ngo'mbe,kuku nk hutakiwi kiwanja kiwe na mavi muda wote hapana haipendi hivyo hiyo dawa.

Dawa hii inakulazimu usitumie dawa nyingine yoyote ya kienyeji.
Mara tu ukianza kutumia hii dawa basi hupaswi kabisa kuwa na dawa Nje ya dawa hiyo!!

Iwe ni shambani,biashara nk tumia Dawa hiyo hiyo hata kama wewe ni kiongozi kupanda cheo nk tumia hiyo hiyo usiende huko na kule kutafuta dawa nyingine.

Dawa hii inataka kafara za wanyama. Hii itakulazimu Kila mwezi utoe kafara ya damu kama. Ni njiwa ama wanyama. Hutegemea na mhusika alivyo.

Hii dawa mara zote wahusika Huwa na kanzu na vibaragashia sijui kama Kuna uhusiano na dini fln maana hata wanawake hufunika vichwa vyao

Kwa uchache ndo hayo baada ya kumuuliza mmoja wao aliyetoka kujifunza uganga wa jadi kahama huko ndani ndani.

View: https://youtu.be/QMVdjPJB3k8?si=E9z0zRx38Ri_K5c0

Zipo nyingi sana lakina nakuacha na hizi chache

Msanii huyu anaitwa Gude gude huimba nyimbo za kutukuza sana Ile dawa ya Nsalaba. Kama lugha ya kiratino unapanda ingia ukamtazame .

View: https://youtu.be/y-dP_sxB0i8?si=rDT0qOv91NdO8hZj

View: https://youtu.be/QMVdjPJB3k8?si=fXMk1xpu2OkKMtbC.

Shimba ya Buyenze bila shaka ushawahi sikia hili.
Kwenye picha ni baadhi ya wahitimu Manyanza
Screenshot_20241104-102358_1.jpg
Screenshot_20241104-102602_1.jpg
 
Kwenye picha ni baadhi ya wahitimu Manyanza View attachment 3143145View attachment 3143146

Aisseee
 
Kaburi ni lango la kuzimu.
Kaburi ni stend ya kuzimu.
Inategemea kuzimu inamaanisha nini, sehemu nzuri au mbaya. Kumbe mtu anaweza kusema pia kuwa kaburi ni lango la Mbinguni. Mara nyingi kuzimu ni sehemu isiyo nzuri, sio Mbinguni. Kwa hiyo makaburi ya watu wema yaweza kuwa malango ya Mbinguni ilihali yale ya waovu yaweza kuwa malango ya kuzimu. Naweza amini zaidi katika hili.
 
Back
Top Bottom