part two 02
kuhusu waganga wa kienyeji mawakala wa kuzimu (wachawi,waganga wa kienyeji,majini,mapepo n.k
NI KWELI KWAMBA KABURI NI MLANGO WA KUZIMU
na sio kaburi pekee ambalo mlango ya kuzimu
milango mingine ni ya kuzimu ni pamoja na CHOO, na water bodies vyanzo vya maji kama BAHARI,MITO,MAZIWA,MABWAWA ,HATA VISIMA VYA KUCHIMBA ARDHINI.
Kwanini waganga wanapendelea kutumia makaburi kama mlango wa kuzimu hata bahari,mito,maziwa,mabwawa,visima na vyoo ni kwa sababu
Wao ni mawakala wa kuzimu wanafanya kazi kwa ushirikiano na kuzimu hivyo ni rahisi wao kupata msaada wa majini,mapepo,mizimu(majini ya ukoo) kwa urahisi kuwasiliana au kuonana na mawakala wa kuzimu au kwenda kuzimu kupata nguvu kupitia malango hayo.
Kuzimu zimegawanywa katika sections zaidi ya moja kuna level mbalimbali ma kuna kuzimu nyingine hata baadhi ya wachawi na waganga wahajawahi kufika na kuziona inategemea na cheo alichonacho .Ila hii kuzimu ya kuja kuongeza nguvu na kuomba misaada kutoka ufalme wa giza(Hata baadhi ya binadamu walio hai huwa wanaenda kwa msaada wa mawakala wa ufalme wa giza(mizimu,mapepo,majini,waganga wa kienyeji) kuomba kupewa nguvu mvuto mfano waganga,wachawi,wafanyabiashara,wanasiasa,wasanii,manabii na mitume wa uongo wa vitu vya upako vinatoka kuzimu..lakini level one kama reception
yale yanayoendele kwa ground ni wachache wamefika na wanajua siri hiyo