Nimebisha baada ya kusoma uongo ulioandika, mfano;Nini kimekufanya ubishe Jambo ambalo Huna Elimu nalo
part two 02Part one...01.
mtu anapokata roho kwa kusui la Mungu baada ya kumaliza siku zake za kuishi diniani,Roho yake hutoka na kwenda kuzimu instantly sekunde hiyohiyo.
Roho yake ikifika kuzimu kuna diversion njia mbili MILANGO MIWILI njia kwanza ya GIZA hii ni kwa wale walioishi katika maisha ya dhambi duniani na wamekufa wakiwa katika dhambi(Hupokelewa na mapepo kupelekwa kwenye mateso).
njia ya pili/mlango wa pili njia ya MOTO hapa zibapita roho za waliotenda mema ambao wamekufa katika utakatifu bila ya kuwa na dhambi(mlango huu unalindwa na malaika mwwnye upanganwa moto ,malaika wanakuja kuipokea roho hii kuipeleka mbinguni.
1)HAKUNA UHUSIANO wa mahali utakapozikwa na destiny ya mahali roho yako itakapokwenda.Kitu pekee ambacho kinaweza ku determine wapi roho yako itakwenda kuzimu ya mateso au mbinguni ni matendo yako kipindi cha maisha yako mpaka sekunde ya mwisho ukiwa hai duniani(UTAVUNA ULICHOPANDA) yani utakatifu wako utakupeleka mbinguni na dhambi zako zitakupeleka kuzimu ya mateso/motoni.
2)ROHO haibaki kaburini au duniani kuzurura zurura ikisubiri,bali sekunde hiyo hiyo inaenda sehemu husika kulingana na matendo ya huyo mwanadamu kabla hajafa.
Kinachobaki duniani mwili tu ambao hauna uhai,nyama nyama ambao ni mavumbi unasubiri kuzikwa na kuoza.
Hata usipozikwa mfano wale ambao miili yao hupotea porini,baharini,kuungua moto au hata usipozikwa ,lakini bado haina effect mana mwili ni mavumbi utarudi mavumbini utaoza ndio expire date mwisho wa mwili.Ila ROHO ndio haifi ila inaenda kwenye destiny yake sekunde hiyo hiyo bila ku delay hata kabla huku duniani hijazikwa roho yako ishafika kuzimu.
summary
kuzimu ni njia panda ya kwenda mbinguni au hata kubaki huko kwenye mateso kuzimu ya mateso.
Mtoa mada yuko sahihi sana!hayo mambo ya adhabu za kuzimu hayapo mkuu,ukifa roho inabaki inazurula tu ikisubiri kuuvaa mwili mpya ambao hautoki nje ya ukoo wenu!KUZIKANA NJE YA MAKABURI YA UKOO ni kuzisababishia roho zenu kuhangaika sana kuipata hiyo miili mipya!na ndiyo maana watu siku hizi wanachangamoto sana za kutokupata watoto😓Part one...01.
mtu anapokata roho kwa kusui la Mungu baada ya kumaliza siku zake za kuishi diniani,Roho yake hutoka na kwenda kuzimu instantly sekunde hiyohiyo.
Roho yake ikifika kuzimu kuna diversion njia mbili MILANGO MIWILI njia kwanza ya GIZA hii ni kwa wale walioishi katika maisha ya dhambi duniani na wamekufa wakiwa katika dhambi(Hupokelewa na mapepo kupelekwa kwenye mateso).
njia ya pili/mlango wa pili njia ya MOTO hapa zibapita roho za waliotenda mema ambao wamekufa katika utakatifu bila ya kuwa na dhambi(mlango huu unalindwa na malaika mwwnye upanganwa moto ,malaika wanakuja kuipokea roho hii kuipeleka mbinguni.
1)HAKUNA UHUSIANO wa mahali utakapozikwa na destiny ya mahali roho yako itakapokwenda.Kitu pekee ambacho kinaweza ku determine wapi roho yako itakwenda kuzimu ya mateso au mbinguni ni matendo yako kipindi cha maisha yako mpaka sekunde ya mwisho ukiwa hai duniani(UTAVUNA ULICHOPANDA) yani utakatifu wako utakupeleka mbinguni na dhambi zako zitakupeleka kuzimu ya mateso/motoni.
2)ROHO haibaki kaburini au duniani kuzurura zurura ikisubiri,bali sekunde hiyo hiyo inaenda sehemu husika kulingana na matendo ya huyo mwanadamu kabla hajafa.
Kinachobaki duniani mwili tu ambao hauna uhai,nyama nyama ambao ni mavumbi unasubiri kuzikwa na kuoza.
Hata usipozikwa mfano wale ambao miili yao hupotea porini,baharini,kuungua moto au hata usipozikwa ,lakini bado haina effect mana mwili ni mavumbi utarudi mavumbini utaoza ndio expire date mwisho wa mwili.Ila ROHO ndio haifi ila inaenda kwenye destiny yake sekunde hiyo hiyo bila ku delay hata kabla huku duniani hijazikwa roho yako ishafika kuzimu.
summary
kuzimu ni njia panda ya kwenda mbinguni au hata kubaki huko kwenye mateso kuzimu ya mateso
part three 03part two 02
kuhusu waganga wa kienyeji mawakala wa kuzimu (wachawi,waganga wa kienyeji,majini,mapepo n.k
NI KWELI KWAMBA KABURI NI MLANGO WA KUZIMU
na sio kaburi pekee ambalo mlango ya kuzimu
milango mingine ni ya kuzimu ni pamoja na CHOO, na water bodies vyanzo vya maji kama BAHARI,MITO,MAZIWA,MABWAWA ,HATA VISIMA VYA KUCHIMBA ARDHINI.
Kwanini waganga wanapendelea kutumia makaburi kama mlango wa kuzimu hata bahari,mito,maziwa,mabwawa,visima na vyoo ni kwa sababu
Wao ni mawakala wa kuzimu wanafanya kazi kwa ushirikiano na kuzimu hivyo ni rahisi wao kupata msaada wa majini,mapepo,mizimu(majini ya ukoo) kwa urahisi kuwasiliana au kuonana na mawakala wa kuzimu au kwenda kuzimu kupata nguvu kupitia malango hayo.
Kuzimu zimegawanywa katika sections zaidi ya moja kuna level mbalimbali ma kuna kuzimu nyingine hata baadhi ya wachawi na waganga wahajawahi kufika na kuziona inategemea na cheo alichonacho .Ila hii kuzimu ya kuja kuongeza nguvu na kuomba misaada kutoka ufalme wa giza(Hata baadhi ya binadamu walio hai huwa wanaenda kwa msaada wa mawakala wa ufalme wa giza(mizimu,mapepo,majini,waganga wa kienyeji) kuomba kupewa nguvu mvuto mfano waganga,wachawi,wafanyabiashara,wanasiasa,wasanii,manabii na mitume wa uongo wa vitu vya upako vinatoka kuzimu..lakini level one kama reception
yale yanayoendele kwa ground ni wachache wamefika na wanajua siri hiyo
katika ukoo kila mwili(mtu ) ana roho yake na mwili wake +nafsi yake.Kama mtu mmoja kwenye ukoo akifa roho yake inabaki kuzurura kusubiri mwili mpya kutoka kwenye ukoo?mwana ukoo wa mwisho kufa hatapata mwili ?na je kama roho yake itachukua mwili wa mwenzake na wa kwake utaenda wapi?kwa nini roho ichukue mwili wa mwingine aliyekufa badala ya wake?Alicho
Mtoa mada yuko sahihi sana!hayo mambo ya adhabu za kuzimu hayapo mkuu,ukifa roho inabaki inazurula tu ikisubiri kuuvaa mwili mpya ambao hautoki nje ya ukoo wenu!KUZIKANA NJE YA MAKABURI YA UKOO ni kuzisababishia roho zenu kuhangaika sana kuipata hiyo miili mipya!na ndiyo maana watu siku hizi wanachangamoto sana za kutokupata watoto😓
Nimebisha baada ya kusoma uongo ulioandika, mfano;
Kumtuma mtu akatafute kitoto kichanga kilichokufa????? Akitumie kuendeleza ndoto za huyo mtoto zihamie kwake????? Nyota gani inayopatikana kwa mfu!!!? Sina elimu lakini nina mengi usiyoyajua wewe.
Ni kweli nyota inaweza kupatikana kwa msukule ambaye ki uhalisia anakuwa hajafa yuko hai amefichwa,Misukule wengi ndio walioibwq nyota zao na wakati mwingine nyota yako ndiyo inaweza kuwa sababu ya kukuwinda wakuchukue msukule ili waibe nyota yako.Au wakufanye kichaa unaokota makopo au unashinda barabarani ni aina ya msukule ambaye ameibiwa nyota yake lakini yupo duniani lakini kama kichaa ila nyota yake inatumiwa na mwingine.Na wengine waliohai nyota zao zinaweza kuibwa.Lakini kama ni mzima timamu unajitambua na utashi wako,nyota yako haijaibwa ila inaeweza kuwa inafunikwa aubunafanyiwq ushirikina fulani lakini nyota yako ipo.Nimebisha baada ya kusoma uongo ulioandika, mfano;
Kumtuma mtu akatafute kitoto kichanga kilichokufa????? Akitumie kuendeleza ndoto za huyo mtoto zihamie kwake????? Nyota gani inayopatikana kwa mfu!!!? Sina elimu lakini nina mengi usiyoyajua wewe.
Tafsiri ya nyota kwa sehemu tu katika lugha ya picha/kutumia kiganja cha mkono wa muhusika.Kwa uelewa wako Nyota NI kitu gàni?
Umejibu vizuri sana cha kuongeza ..... Huo msukule upo hai hauonekani kwenye macho ya kawaida lakini wenye macho yao wanaona.Ni kweli nyota inaweza kupatikana kwa msukule ambaye ki uhalisia anakuwa hajafa yuko hai amefichwa,Misukule wengi ndio walioibwq nyota zao na wakati mwingine nyota yako ndiyo inaweza kuwa sababu ya kukuwinda wakuchukue msukule ili waibe nyota yako.Au wakufanye kichaa unaokota makopo au unashinda barabarani ni aina ya msukule ambaye ameibiwa nyota yake lakini yupo duniani lakini kama kichaa ila nyota yake inatumiwa na mwingine.Na wengine waliohai nyota zao zinaweza kuibwa.Lakini kama ni mzima timamu unajitambua na utashi wako,nyota yako haijaibwa ila inaeweza kuwa inafunikwa aubunafanyiwq ushirikina fulani lakini nyota yako ipo.
Kama siyo msukule sio kichaa AU TAHIRA hujaibiwa haijaibwa nyota yako ipo.
Kuhusu kuchukua nyota za wafu waliokufa kweli acha misukule na kuwapa waliohai haiwezekani mana wanakuwa wamekwisha fungwa hatima yao kitabu chao kimeshafungwa muda wao siku zao za kuishi zimekwisha.
ni kweli kabisa,asante kwa kuongezea.Umejibu vizuri sana cha kuongeza ..... Huo msukule upo hai hauonekani kwenye macho ya kawaida lakini wenye macho yao wanaona.
Tafsiri ya nyota kwa sehemu tu katika lugha ya picha/kutumia kiganja cha mkono wa muhusika.
1)kidole kidogo cha mwisho-KIBALI
2)kidole cha pete-NDOA
3)kidole cha kati-MAFANIKIO/ USTAWI
4)Kidole shahada-pointing finger-UONGOZI
5)kidole gumba-MALI NA UMILIKI
baadhi ya dalili za mtu ambaye nyita yake imeikamatwa au imefunikwa
1)kibali hana kibali hakubakiki hana mvuto ushawishi
2)Ndoa-hana ndoa au hadumu au migogoro katika ndoa,au ndoa za majini mahaba n.k
3)Hana mafanikio chochote anachoanzisha hakistawi kinakufa kinakuwa duni
4)Hana uongozi hata familia yake hawamsikilizi mpaka anaweza kujitambukisha unajua mimi ndio baba,mimi ndio fulani,
5)Mali na umiliki hana/ufukara
Kitu kinachoitwa nyota kwangu mimi siamini kabisa.... Ninachokijua kuna ile hali binadamu analazimisha kufanya kitu ambacho hawezi au hawezi kufanya kwa usahihi.Huu ni uongo
Matatizo Kama haya hayana uhusiano na nyota Ila mazingira uliyopo
Mbona MTU anayeshindwa kutoboa Tanzania akienda ulaya anatoboa
Ni kweli matatizo kama haya yanaweza kutokea kwa mtu yeyote kwa sababu mbali mbali ikiwemo nyota yako kuchezewa kufunikwa kwa nguvu za giza /SIYO KUIBWA ila inakamatwa au inachezewa au kufunikwa,watu kama hawa wakijiimarisha katika ulimwengu wa kiroho kwa kutengeneza mahusiano mazuri na Mungu , sala,maombi,sadaka ,zaka ,kufunga,IBADA na kuacha dhambi.Kumcha Mungu,hufanikiwa zaidi mana vifungo vya nguvu za giza hufunguka.Huu ni uongo
Matatizo Kama haya hayana uhusiano na nyota Ila mazingira uliyopo
Mbona MTU anayeshindwa kutoboa Tanzania akienda ulaya anatoboas
Ni kweli matatizo kama haya yanaweza kutokea kwa mtu yeyote kwa sababu mbali mbali ikiwemo nyota yako kuchezewa kufunikwa kwa nguvu za giza /SIYO KUIBWA ila inakatwa au inachezewa au kufunikwa,watu kama hawa wakijiimarisha katika ulimwengu wa kiroho kwa kutengeneza magusiano mazuri na Mungu , sala,maombi,sadaka ,zaka ,kufunga,IBADA na kuacha dhambi..hufanikiwa zaidi mana vifungi vya nguvu za giza hufunguka.Huu ni uongo
Matatizo Kama haya hayana uhusiano na nyota Ila mazingira uliyopo
Mbona MTU anayeshindwa kutoboa Tanzania akienda ulaya anatoboas
NYOTA YAKO IKIIBWA
wewe ni lazima uchukuliwe msukule
kuna misukule aina kama 3
1)unatoweka unafichwa duniani wanaweza ukahesabika ukaaminika umekufa na ukazikwa kumbe ni kiininmacho umefichwa umechukuliwa tu msukule kutumiwa katika shughuli za kishirikina na nyota yako kutumiwa,lakini kiuhalisia hujafa
2)Uwe kichaa kabisa upo duniani lakini ndio wale vichaa wachafu wanaishi mazingira duni majalalani
3)uwe tahira yani una mtindio kama wa ubongo ndio wale unakuta mtoto mmoja katika familia anadondosha mate udende na mara nyingi anafichwa ndani
Hapo nimezungungumzia kwa upande wa kishirikina sio kisayansi ya afya.
Ukiwa na akili timamu unajitambua una utashi wote ,unaweza kutambua baya na zuri na kufanya shughuli zako za kila siku,TAMBUA NYOTA YAKO HAIJAIBWA ila inaweza kukamatwa kifunikwa au kishikiliwa kishirikina na ukawa duni usifikie viwango vya mafanikio uliostahili kuwepo au kucheleweshwa katika mambo yako ya KIBALI,MAMLAKA,NDOA,MALI
UMILIKI,UONGOZI NK
uki imarisha maisha ya ibada ukaacha dhambi ndio dawa tiba pekee.
UKIENDA KUTAFUTA TIBA kwa waganga wa kienyeji na manabii wa uongo wa mafuta ya upako,kiomba mizimu,majini ,kutambika n.k
ndio unaongezea moto juu ya moto unajipalia mkaa,hali inazidi kuongezeka mana hao wote hawana uwezo wa kukusaidia ni serikali moja na wahawi ni sawa na kusema kesi ya nyani umpelekee ngedere,dawa ya kweli ya kikombolewa ni YESU PEKEE.
Yesu anaweza yote hata kurudisha misukule iliyofichwa na wachawi/waganga/mizimu /mapepo /majini/manabii wq uongo wa maguta ya upako.
Yesu ni kiboko ya yote ,Yesu anaponya anasaidia,anarudisha nyota yako iloyoibwq anagungua nyota yako iliyokamatwa na adui ufalme wa giza.Muamini Yesu ,omba kupitia jina la Yesu,acha dhambi ukombelewe.Dhambi ni mbaya dhambi ni MAUTI.Dhambi inafungulia mlango adui kukuonea na kikutesa ni Mateso sababu ya dhambi tu.Ukiishi maisha ya dhambi ni sawa na kuchagua MAUTI.Rohi ya mauti ikufuatilie .Mungu ametukataza dhambi kwa faida yetu wenyewe.
Kitu kinachoitwa nyota kwangu mimi siamini kabisa.... Ninachokijua kuna ile hali binadamu analazimisha kufanya kitu ambacho hawezi au hawezi kufanya kwa usahihi.
Mfano Mimi nimefanya intvyuu nyingi lakini sikupata hata moja badae nilikumbuka kitu ambacho nilikua napuuzia kiukweli kwa sasa naweza kusema ile kitu nimeifanya kwa usahihi imekua na iko vizuri kiasi kwamba naona nikifanya kazi ni kama nitajichanganya zaidi,..... Sasa baadhi ya watu wanachelewa kujua nini wafanye na wanasingizia nyota na wakienda kwa waganga njaa ndipo wanatapeliwa.
mtu ambaye nyota yake imeibwa kabisa hawezi kuwa timamu anakuwa tahira au kichaa au msukule.Swali !?
Hapa Tanzania mazingira ya kufanikiwa ni magumu Sana wengi wanaambiwa wameibiwa nyota lakini ukiangalia sio kweli mkuu.