Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

Ushauri mwingi uliopewa humu hauna uhalisia na umetoka kwa members wengi ambao hawamiliki blog ama website.

Kwanza tambua msingi wa watembeleaji kwenye blog kwa sasa ni Search engine(Google search), kwa maana unapaswa ujue keywords watu wanazoandika kwenye google pindi wakiwa wanasachi kwenye google

Hizi hapa chini ni takwimu za watembeleaji kwenye tovuti yangu ambao wote ni wateja wanaotaka kununua bodhaa fulani
View attachment 2936020
Hawa wote wanatokea google.

Unaiona hii jamiiforums, kwa takwimu za wakati huu (saa tano dakika 45 asubuhi) kuna watembeleaji 9,807 huku wanachama 1,119 tu, unajua hao watembeleaji 8,688 wanatokeo wapi? Ni Google kwa asilimia kubwa

Unajua hata forums zilisemwa zimekufa ila zipo forums zinafanya vizuri mfano Jamiiforums na hata kuna nyingine naiona inaitwa Jamiitalk.

Ni ngumu kueleze kiundani sababu ya watembeleaji kuwa wachache kama bila kuona blog yenyewe
Ukiacha SEO,njia gani nyingine unatumia kupata traffic?hapa namaanisha unaboost au tunashare?
 
Ukiacha SEO,njia gani nyingine unatumia kupata traffic?hapa namaanisha unaboost au tunashare?
Situmii njia nyingine yoyote zaidi ya seo, japo ni risk kutegemea channel moja ya traffic hasa kipindi hiki Google wamekuwa wakifanya updates za algorithms mara Kwa mara
 
Tatizo la watanzania wengi uwa wanakwenda na trend na sio ujuzi wa jambo husika na hii ni matatizo ya kuwa atuna mazoea ya kuweka longterm plan . Maana aitakuwa rahisi mtu kukuamisha mawazo Kwa jambo ambalo aliko katika mpango wako matokeo yake unakuta tayari umepoteza rasilimali fedha,muda ,na msongo wa mawazo unakukumba
 
Huwa unazi index baada ya kupublish au unaachana nazo tu? Baada ya kuandika lazima uzi submit kwa marobot ya Google vizuri zaidi manually, lasivyo utashangaa baada ya miezi 3 ndiyo traffic inakuwa ghafla na blog post ambazo umezishare miezi ya nyumq ndiyo zinaonekana.
 
Mimi najitafuta nilipie hosting ya hostinger na this time napitq na cloud hosting, kwa muda niliotimia na gharama za kurenew domain na kulipia hosting bluehost na Namecheap siwezi acha ingawa sijawahi withdraw tokea nianze kuwa monetized 2021.
Harakati tokea 2016 ,sema ni vile sikuwa naipa muda mwingi mpaka walipoapprove sote.
 
Nini kilikufanya uanzishe blog ya kazi? Waajiri wanapost kwenye website zao na kwenye social media accounts zao, sasa nani ataingia kwenye blog yako kutafuta kazi?

Ni wapi unapata hayo matangazo ya kazi? possibly unayachukua kwenye site/social media za waajiri au kwenye site za bloggers wengine.

Unatakiwa kubaini kitu cha ziada ambacho visitors wa blog yako watakipata ambacho hakipo kwenye blog nyingine za kazi. Mfano kipindi fulani nyuma nilirun blog ya kazi ambayo ilikuwa powered na AI, kwamba kwa kila kazi ambayo nimepost una_upload CV yako then yenyewe inakutengenezea cover letter ya kazi uliyo ifungua pia inakupa suggestion za namna ya kuboresha CV yako ili iweze kuendana na hiyo kazi. Somehow iliweza kuwa na namba nzuri ya visitors ila kwa kuwa blogging is not my hobby nikaifunga baada ya kukamilisha experiment yangu (I was just doing it ili kuona possibilities zilizopo kwenye AI).

Sasa nikirudi upande wako jiulize blog yako ina nini cha ziada?
 
African Country Tourism

Blogger ebu pitieni iki kiblog nilikisusaga juz nimekikumbuka nikaona nikifanyie malekebisho nimeamua kuweka free blogger template bado najiuliza nitoe ile meta tag au niache
 
Back
Top Bottom