Bluray and the Role of Preciseness/Precision in Development

Ukisema kuwa all budgets are estimates unakuwa short. Kwa sababu budget nayo inakuwa estimated.

There is no reason why one should not be able to estimate future estimates, although that is highly hyperbolic.

Here is the first dictionary definition of the world budget according to www.dictionary.com.

an estimate, often itemized, of expected income and expense for a given period in the future.
 

Uncertainity principle siyo zao la entropy.Nilizungumzia kuhusu application ya classical physics kwasababu uliwamention kina Newton ambao laws zao ni classical licha ya kwamba entropy is involved.

Quantum physics siyo classical na uncertainity principle ilikuja mara baada ya mvutano kati ya classical physics na quantum,classical inaprohibit particles from being somewhere at a "dissalowed orbit" (Bohr's assumption)wakati quantum physics mara baada ya kukubaliana na uncertainity principle,inasema kuwa there is a probability of it being there.Schrodinger akaja na wave theory ambayo basically ni ya ku calculate probabilities.

Mkuu this is too deep,na muda ni mfupi,hata hivyo hata hivyo hizi concept zote ni interrelated kwasababu kila moja ilikuja baada ya nyingine ku fail somewhere na ndio maana quantum physics haiwezi kuwa claimed na lets say Einstein peke yake,ama Schrodinger,de broglie,compton,Rutherford,ama hata Max Planck ambaye alikuja na quantum hypothesis,ie E=nhf.
 

Jmushi1:

Mbona wote unaotaja ni wazungu tu. Yuko wapi mpemba?
 

Nini kinasababisha uncertainty iliyo katika uncertainty principle? Unajua kwa mujibu wa Heisenberg nini kinasababisha uncertainty? Unajua interpretation ya explanation ya Heisenberg with relation to entropy?
 
Nini kinasababisha uncertainty iliyo katika uncertainty principle?

Inategemea na how you apply the theory.Ni concept inayoweza kutumika hata kijamii na hata kibaiyolojia.
Kijamii kuna mambo ambayo tunayafanyia tathmini,lakini in the process,kile tunachokifanyia tahmini kinakuwa kimeshatoka kwenye ile original state yake....Kwa mfano watuhumiwa wa ufisadi wakishajua wanfanyiwa uchunguzi then ushahidi hauwezi kuwa on the same state na hivyo tunashindwa kujuwa kila kitu kwenye observation yetu.

Kibaiolojia,kulifanyika tathmini,na mtu aliyekuwa na headache akapewa dawa,lakini ilikuwa ni placebo,wakamwuliza unajisikia vipi,akasema anajisikia vyema,mwili tayari ulikuwa kwenye state nyingine ya tofauti wakati alipoambiwa kuwa anapewa dawa,na ndio maana kuwa hatuwezi kujua everything exactly at the same time due to uncertainities....Ile state ya awali ya mwili imebadilika during the process of examining it.

Principle ya uncertainity ilitumika originally wakati wa kumeasure microscopic objects,Schrodinger alikuja na wave theory yake ambapo alisema electrons huwa zinaform "probability cloud" ambayo inasoround necleus,wave equation hii ya Schrodinger inafanya exactly kile ambacho laws za Newton zinafanya,sema ya Scrodinger ni kwa microscopic ama matter waves where as Newton ni for macroscopic objects(vinavyoonekana with naked eyes)

Kwa kifupi ni kwamba mwanga unaotumika kumeasure electron una mawimbi makubwa kiasi kwamba by the time ule mwanga unaporeflect kwenye macho yetu illi tuweze kuiona object yenyewe,tayari object ile inakuwa in a different state,(kumbuka we can see an object after the light srtuck the object and reflect to our eyes)mwanga una energy pia ambayo inabadilisha state za microscopic objects kama ilivyo kwa electrons,na when an atom changes state,it has a different set of quantum numbers and new probability density.Probability density ni the same as probability cloud niliyoimention hapo nyuma ambayo huwa measured kwa kutumia Scrodinger's wave equation,na kwa hiyo inasema kuwa it is impossible to know excactly where the electron is at any particular time,ndio maana nikasema principle ya uncertainity haikutokana na entropy.

Kwa hiyo uncertainity iliyoko kwenye uncertainity principle inategemeana na what you're trying to observe....Mfano ni wa electron,wakati iko kwenye process ya kupimwa inakuwa imechange to a different probability cloud ambayo ni deifferent kabisa na ile tuliyotaka ku originally obsreve or measure,uncertainity principle inakwambia you cant know everything exactly at the same time.
 

You are looking at entropy in the eye and yet you cannot see it.Ungeelewa the underlying reasons za vitu, instead ya kukariri unachosoma, usingesema uncertainty principle ndiyo iliyozaa entropy na ungeona entropy ni more fundamental kuliko uncertainty primciple, na ndiyo inayosababisha uncertainty principle.

Ungejua kuwa entropy imekuwa imprinted in the arrow of time, na kila kitu kinacho exist katika dimension ya time ni subject ya entropy.
 

Teh teh teh!Yani kweli nyani haoni kundule!We umezaliwa unajuwa hivyo vibombastic unavyotoa hapa ama?mimi natoa maelezo in a simple way we unasema nimekariri?jibu hoja kwa hoja na uache za kusema eti nakaririDont put words on my mouth hakuna pahala nimesema uncertainity principle ndiyo ilizaa entropy,una makengeza ama?
Mimi nimekuelezea jinsi uncertainity principle ilivyokuwa applied kwenye quantum physics,nini usichoelewa unaanza ubishi usiokuwa na maana?Wapi nimezungumzia kipi kipo fundamental than the other?
 

Swali simple, between entropy and uncertainty principle, which is more fundamental?
 
Swali simple, between entropy and uncertainty principle, which is more fundamental?
Entropy is synnonym for disorder,Clausius ali introduce concept ya entropy kama quantity ambayo inaongezeka due to heat dissipation,na ofcourse according to the second law of thermodynamics,in any macroscopic mechanical process,some or all of the energy always gets dissipated as heat.And because heat is a random movements of individual paricles that make up the system,entropy then was interpreted as the amount of disorder the system contains.

WHERE AS....

Heisenberg uncertainity principle ilianzia kwenye microscopic level,if you know the speed of a quantum particle,you can never know its exact location...Thats Quantum Physics.

HATA HIVYO...

In Quantum mechanics,Concept ya entropy ilikuja kuwa developed na John Von Neumann na iko reffered to as "Von Neumann Entropy"(Hii ni kwenye Quantum physics nasisitiza)ambayo basically ni S=kTrpljp.Kwa kifupi he simply extended the classical concept of entropy into the quantum domain.

Mwisho,entropy ni complex subject,inatumika for many different topics kuanzia math,life,economy, etc. Na kwenye physicall science,ndiyo the only quantity inayojulikana kama "Arrow of time" Kuna entropy applied to thermodinamics(ambayo ndiyo original)na entropy information theory.
 

Umesema mengi, hujajibu swali.
 
Umesema mengi, hujajibu swali.

Kama huelewi basi tumeshindwa kuelewana,hujui nimezungumzia toka mwanzo kuhusu QM,na unaonekana hujui vizuri unachouliza,ebu jibu wewe tuone,sema wewe....Mbishi sana wewe ndugu yangu,nimekwambia how uncertainity principle came to the picture inQM and how entropy was incorpotated,swali lako wewe uliuliza ni ipi fundamental,sasa unataka utafuniwe halafu umezewe?Nimekuonyesha relationship kati ya entropy and principle of uncertainity kama ilivyokuja kuwa introduced na Von Neumann,sasa kipi huelewi ama ni ubishi tu?
 


This is exactly the major point ya hii thread, preciseness.

Umeongea historia nyingi na nuances, lakini hujajibu swali directly na precisely kwa kusema kati ya entropy na quantum physics, hiki ndicho fundamental na hiki kinafuatia.

Nakuuliza ujibu specifically ili huko mbele usije kuruka maneno kama ulivyofanya hapo juu.
 

Hiyo preciseness imekufa kabla hata haijaanza...Whats precission in this matter?swali gani kutoka kwa mtu unayejiita bluray?unataka kujua kipi ni fundamental in wich ways?scientifically ama?we mgumu sana kuelewa ama mbishi sana,hata hivyo twende hoja kwa hoja....Swali lako ni la kipuuzi...Inaonyesha kuna pahala hujaelewa ama una mix,entropy ni complex rudi kwenye vitabu vyako.
Halafu uache kutwist bila mpango,mambo yote unayouliza mara mbili mbili kama ungekuwa unasoma posting kwa makini ungeelewa,halafu how can you be precise on everything?
Paka Jimmy anakwambia whoever is an expert in everything knows nothing,Heisenberg is back,yani just lots of fun.
 
Jmushi1:

Mbona wote unaotaja ni wazungu tu. Yuko wapi mpemba?

Gademu! Zakumi una laana ya bibi wewe....Lol

Halafu mbona umeulizia Mpemba tu? Kwani hakuna wengine? Nilidhani ungeuliza "yuko wapi Mpemba, yuko wapi Ndunguru", "yuko wapi Chagula" n.k. Lol
 


Siwezi kubishana na mtu ambaye hawezi kujibu swali rahisi kama which is more fundamental kati ya entropy na uncertainty principle.Swali simple, toa a direct and precise answer, hata kama unataka kutoa maelezo na historia, fine, lakini mwisho wa mchezo unatoa a clear answer, wewe unaacha loophole kama mtu asiyetaka kujicommit clearly, kwa nini?

Unaogopa ukiwa clear Bluray ata murder machete weak arguments zako.

Halafu mimi sijasema kwamba ni expert, hiyo ni infriority complex yako wewe na wenzako timid minds kama wewe tu.
 

Duh! Mangi umenichekesha kweli leo! Sikujua kuwa una comebacks kali hivyo.
 
Duh! Mangi umenichekesha kweli leo! Sikujua kuwa una comebacks kali hivyo.

Tatizo tunakumbatia vitu substandard kiasi kwamba mtu akija na kitu cha kawaida tu anaonekana anaongea vibombastic.

Halafu tunakuja na hii inferiority complex iliyovikwa joho la aggressive comebacks, tunaijua tu, hata ikivishwa taji la kifalme.
 
Tatizo tunakumbatia vitu substandard kiasi kwamba mtu akija na kitu cha kawaida tu anaonekana anaongea vibombastic.

Halafu tunakuja na hii inferiority complex iliyovikwa joho la aggressive comebacks, tunaijua tu, hata ikivishwa taji la kifalme.

Taratibu faza, hakuna mwenye inferiority complex hapa labda wewe ndio unayo na unai-project kwa kuwalabel wengine kuwa wana inferiority complex. La sivyo kwa nini unapenda sana kutaja taja inferiority complex? Kila kitu inferiority complex.....inferiority complex itoke wapi? Kwa sababu unatumia so called "bombastic" maneno? Come on now..

1,2,3......wuuuuuusaaaaaaa
 

Hahahaha,

Mazee nimegusa nerve nini? Vipi kama wenye inferiority complex wana inferiority complex ya kuona wanaosema kuhusu inferiority complex wanawasema wao hata kama sivyo?

I hardly had you in mind my dude.

Tell the kid to grab a book or something for the next ten years maybe he can grab some basic concepts on Quantum Physics and entropy.

Im rocking with some Marlon Brandon oldies out here, the storm be coming, so a movie weekend is what its gotta be.

Check it out

https://www.jamiiforums.com/sports-...-why-do-rappers-hold-their-guns-sideways.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…