Nini kinasababisha uncertainty iliyo katika uncertainty principle?
Inategemea na how you apply the theory.Ni concept inayoweza kutumika hata kijamii na hata kibaiyolojia.
Kijamii kuna mambo ambayo tunayafanyia tathmini,lakini in the process,kile tunachokifanyia tahmini kinakuwa kimeshatoka kwenye ile original state yake....Kwa mfano watuhumiwa wa ufisadi wakishajua wanfanyiwa uchunguzi then ushahidi hauwezi kuwa on the same state na hivyo tunashindwa kujuwa kila kitu kwenye observation yetu.
Kibaiolojia,kulifanyika tathmini,na mtu aliyekuwa na headache akapewa dawa,lakini ilikuwa ni placebo,wakamwuliza unajisikia vipi,akasema anajisikia vyema,mwili tayari ulikuwa kwenye state nyingine ya tofauti wakati alipoambiwa kuwa anapewa dawa,na ndio maana kuwa hatuwezi kujua everything exactly at the same time due to uncertainities....Ile state ya awali ya mwili imebadilika during the process of examining it.
Principle ya uncertainity ilitumika originally wakati wa kumeasure microscopic objects,Schrodinger alikuja na wave theory yake ambapo alisema electrons huwa zinaform "probability cloud" ambayo inasoround necleus,wave equation hii ya Schrodinger inafanya exactly kile ambacho laws za Newton zinafanya,sema ya Scrodinger ni kwa microscopic ama matter waves where as Newton ni for macroscopic objects(vinavyoonekana with naked eyes)
Kwa kifupi ni kwamba mwanga unaotumika kumeasure electron una mawimbi makubwa kiasi kwamba by the time ule mwanga unaporeflect kwenye macho yetu illi tuweze kuiona object yenyewe,tayari object ile inakuwa in a different state,(kumbuka we can see an object after the light srtuck the object and reflect to our eyes)mwanga una energy pia ambayo inabadilisha state za microscopic objects kama ilivyo kwa electrons,na when an atom changes state,it has a different set of quantum numbers and new probability density.Probability density ni the same as probability cloud niliyoimention hapo nyuma ambayo huwa measured kwa kutumia Scrodinger's wave equation,na kwa hiyo inasema kuwa it is impossible to know excactly where the electron is at any particular time,ndio maana nikasema principle ya uncertainity haikutokana na entropy.
Kwa hiyo uncertainity iliyoko kwenye uncertainity principle inategemeana na what you're trying to observe....Mfano ni wa electron,wakati iko kwenye process ya kupimwa inakuwa imechange to a different probability cloud ambayo ni deifferent kabisa na ile tuliyotaka ku originally obsreve or measure,uncertainity principle inakwambia you cant know everything exactly at the same time.