Soma historia vyema ujuwe mazingira hayo yaliyoruhusu ama kutoruhusu maendeleo yalifikiwaje,watu werevu wakishindwa na wajinga haina maana kuwa wale wajinga sasa ndio werevu,chini ya utawala wa slave master na mkoloni vibaraka wa kuyasimamia maendeleo ya wananchi watakuwa werevu?Certainly not,huwezi kumweka kibaraka mwerevu mwenye kuyasimamia maslahi ya wananchi dhidi ya yale ya watwana...
Hatujawahi kuwa na viongozi walioligundua hilo,viongozi walikuwa kama manyapara na bado wako the same,tofauti ni kwamba sasa hivi wanaomba omba zaidi na kujipendekeza kuliwa...Wakatumia loophole ya system mbovu ya kikoloni kwa manufaa yao na bado naamini system ndiyo chanzo cha mazingira mabovu....Wale wote waliokuwa na mawazo a kuwaendeleza wananchi ama wenye kujali maslahi yao na ya Taifa kwa ujumla walifutiliwa mbali..
Ndio maana hata Bob alisema how long shall they kill our prophets while we stand beside and look,na baadhi ambao hawazingatii science ambao kutokana na system mazingira yao na uelewa wao unapelekea wao kusema its part of the book to be fulfilled,really?Bwana wako akikupiga shavu ili mgeuzie na la pili...System ni ile ile na product ya viongozi ni ile ile,wale wenye mawazo ya kimapinduzi waliondolewa na wajinga wenye kuendelea kuwatumikia wazungu in all aspects,its sickening....Kwa hiyo haina maana kuwa waafrika wote ni wajinga kama unavyopenda ionekane,soma historia vizuri na utumie medula oblangata yako,we need REVOLUTION period,na si kulia lia tu "Eti Miafrika ndivyo ilivyo"
Historia kwa ujumla ndiyo imeshape mazingira yaliyopo hilo halikwepeki,sasa inategemea na your point of view,wewe yako ni euro centric na hivyo sishangazwi,ntashangazwa vipi?System ni mbovu na revolution ni a must if we are to get out of the corrupt system,huwezi kuwajumuisha waafrika wote na kusema ni wajinga,labda wewe ndo mjinga.Viongozi wetu wakiwa wajinga haina maana na mimi ni mjinga...Uamuzi wa kwamba waafrika "collectively" ni wajinga,ni uamuzi wako binafsi na wenzako,bado naamini every single person is unique and should be judged by their own unique characteristics.