BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Kuna mwana alikuwa na X3 ikagoma kuwaka .Kahama nzima hakuna fundi aliweza kuiwasha jumlisha na Shinyanga .Ikabidi fundi atolewe Dar .Mpaka inawaka M na na uchafu .
Huyo mbona ilimtoka hela ndogo?

Mimi kuna RR niliifufua Zanzibar ilikuwa iahapaki Mwaka na nusu haiwaki, Stori yake nilishaileta humu ndani mara kadhaa.

Gari ilikuwa haiwaki, alikuwa mpaka ameshanunulishwa na gearbox nyingine, Hapo sijawagusa mafundi wengine.


Gearbox ya RR L322 ni bei gani?
 
[emoji23]
 
Kuna mwana alikuwa na X3 ikagoma kuwaka .Kahama nzima hakuna fundi aliweza kuiwasha jumlisha na Shinyanga .Ikabidi fundi atolewe Dar .Mpaka inawaka M na na uchafu .

Haya na kuna hii polo stori ya juzi tu. . .

Huyu naye alikuwa anatoa 2M na zaidi na gari haijapona,


Mind you, gari ilikuwa haina hata mwezi toka aichukue yard.
 
A4 mwaka gani?

CARD?????? MMMMH
 
Kingine mafundi wanakua na njaa kali, wakiona gari ya European, hata kujaza gesi ya AC tuu utapigwa bei kubwa akalipe ada ya watoto

Ndio haya mambo mimi nalalamikia wamiliki sometimes,

Okay unabadili knock sensor au ckp sensor engine ni BMW N52. So hapo Intake manfold lazima litoke, Hiyo intake manfold kwa chini ina pipe ya vacuum kama hii👇👇👇ila yenyewe ni ndefu kidogo


Joto la japo katikati mixer hilo intake halijafunguliwa muda mrefu, chance za kuikata hiyo pipe ni 99%.

Hiyo pipe hapa mjini bila 120k mpaka 150k hapa mjini hujanunua.

Bosi anataka kazi hiyo akulipe 10k unazalisha tatizo la 150k hiyo ni biashara kichaa. Tena wenye gari ambao wanabana kulipa hela, ukivunja kama hivyo atakung'ang'ania hutoamini macho yako.

Hapo sijagusa vitu complicated kama kubadili thermostat au coolant pump
 
Wanasahau ukitaka starehe kaa mbali na ubahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…