DOKEZO Boda aliyemuingilia Mwanafunzi wa Darasa la 3 (mbele na nyuma) - Mbande, anatamba mtaani, hatuoni dalili ya haki

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwenye nchi kama hii huwezi pata suluhisho

Ni wakati sasa wa kununua chuma hata za magendo ili akitokea mpumbavu unadili naye kimyakimya

Huku kuchekeana kutatufikisha pabaya

Imagine Mtu umefanyiwa dhuruma lakini huna amani kuliko aliyekufanyia.!

Yeye boda bado anakula vichwa area hiyo ila wewe umehamisha mtoto mkoa.!

Hii mbaya zaidi ya sana
 
Kama mtoto wako anasoma kidumu na ufagio mijini na kwenye manispaa haya matukio ni mengi na walimu hawawezi kujua wala
 
Nenda haraka ofisi za ustawi wa jamii zipo kila kata. Ukiona nao wanasuasua nenda ofisi ya ustawi wa jamii wilaya na ikibidi fika kwa Mkuu wa Wilaya suala litashughulikiwa kwa haraka zaidi.

Pia kuna namba za waziri anayeshughulikia masuala ya watoto Mhe Dkt. Gwajima D zipo kwenye akaunti yake ya mitandao ya kijamii mcheki huwa ni mfuatiliaji mzuri sana.
 
Inasikitisha ,Bodaboda jitu zima linaenda kwa mtoto mdogo wa std 3 wa miaka 8/9?
 
Dr. Gwajima
 
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 6
Dhamana ni haki yake lakini kulipa kisasi ni haki yako pia
 
Nafikiria kovu kubwa wamemuachia mtoto, kumuhamisha mkoa pekee hakutoshi anapaswa kupelekwa kwa wataalam wa saikolojia wafix akili yake, bila hivyo atakua akichukia wanaume au atakuja kua kiwembe kwa kuhisi mwili wake hauna thamani tena
 
Ishu ni umasikini!
Ili uishi vizuri nashauri umiliki kimoja kati ya hivi:-

NGUVU (ya akili na mwili)
PESA
UCHAWI

hapo utaishi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…