Bodaboda atekwa, akatwa mikononi na miguu, afungwa kamba

Hiki ni kisasi. Maana hawakutaka kumuua bali kumkomoa. 70% ni ishu ya mwanamke.
ishu ya mwanamke umfanyie hivyoo utakata wa ngapi? kama mwanamke ni malaya ataliwa tuu.

kwa upande wangu ata mke wangu akifanya ujinga siwezi kumtendea mwanaume mwenzangu hayoo.

hapoo jamaa hamna kitu anaweza kufanya ata toilet kujiswafi kuoga kula kutumia simu yani hapo anategemea msaada wa kudumu.
 
Kweli mkuu. Kosa sio la mwanaume ni Demu wako aliemkubalia unakuta uyo kijana ndo alikuwa nategemewa na familia saiv ndo anaitegemea kwa kila kitu.
 
ishu ya mwanamke umfanyie hivyoo utakata wa ngapi? kama mwanamke ni malaya ataliwa tuu.

kwa upande wangu ata mke wangu akifanya ujinga siwezi kumtendea mwanaume mwenzangu hayoo.

hapoo jamaa hamna kitu anaweza kufanya ata toilet kujiswafi kuoga kula kutumia simu yani hapo anategemea msaada wa kudumu.
Sishani kama ni wanawake.......dogokuna vitu inabidi Atubu tu na kuweka wazi.

Hicho ni kisasi.

Na wakati mwingine Makosa hayakufanywa na yeye.

Kuna mambo inabidi tufikirie na kuyaepuka.

Dogo huenda anatumikia dhambi ya wazazi wake.

Bibilia inatueleza Mungu hupatiliza Kizazi cha wana wa maovu hadi kizazicha Nne.

Huyo dogo huenda Babu yake au Baba yake alishiriki mambo maovu ya kuua, kutesa na au kupoteza watoto wa wengine.

Sasa kama Ilivyo Karma hilo hutokea ili wazazi nao waumie kama walivyowafanyia wengine.
 
Back
Top Bottom