KERO Bodaboda na bajaji standi mpya ya Kigoma zinatumia njia za waenda kwa miguu, jambo hatari hili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

mamamamamama

New Member
Joined
Apr 29, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Bodaboda na bajaji katika eneo la Stendi Mpya ya Kigoma zimekuwa zikitumia njia za waenda kwa miguu kukwepa taa za barabarani, hali inayosababisha uharibifu wa taa za pembeni mwa barabara na wakati mwingine ajali.

Watembea kwa miguu tunasikitishwa na tabia hiyo, tunakitaka madereva wa bodaboda na bajaji kuacha kutumia njia hizo na kufuata sheria za barabarani ili kulinda usalama wa watumiaji wote wa barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…