Sasa sii bora hilo. Ebu fikiria hawa vijana wangekuwa hawana bodaboda sii ndio wamebaka mama nandada zetu humu mtaani.Bodaboda wameshindikana wapo rafu sana wanapita kushoto mwa magari hawajari usalama wao wanasababisha ajari nyingi sana barabarani kwa kifupi hawa jamaa ni kero kubwa sana,unavyoendesha gari adui namba Moja barabarani ni bodaboda.
Kwa kawaida udereva unahitaji mafunzo kabla ya kuingia barabarani vinginevyo utakutana na ajali kila wakati.Kuwa makini hakuhusiani na ulipojifunzia kazi
Unaweza vuka Barbara kutoka kushoto kweenda kulia na kushoto gari zinaenda juu wakati kulia gari zinaenda chini wakati unavuka unashangaa boda boda anatoka chini kuja juuu kwa njia ya kulia ambayo gari zinatoka juu kuja chini wewe mawazo Yako yanaangalia juu ile unapaita unashangaa umepulizwa au kukwanguliwa kwa mbali ukicheki ni boda kaingilia upande wa gari zinakotokea shida kweli Sasa hivi inatakiwa kuangalia mara tatu tatu unapovukanbarabara sio kuandalia upande mmoja tu
Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya.
Ni kama wana utawala wao wapo dunia yao isiyo na sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea wengine kwa mbele kwa kisingizio cha wana haraka.
yani hawa jamaa ni sheeeda wanafanya udereva kuwa mgumu sana yani wkt mwingine ni km wew ndo unawatafuta wao wako wapi uwakwepe kabla hawajakuletea mabalaa.Unaweza vuka Barbara kutoka kushoto kweenda kulia na kushoto gari zinaenda juu wakati kulia gari zinaenda chini wakati unavuka unashangaa boda boda anatoka chini kuja juuu kwa njia ya kulia ambayo gari zinatoka juu kuja chini wewe mawazo Yako yanaangalia juu ile unapaita unashangaa umepulizwa au kukwanguliwa kwa mbali ukicheki ni boda kaingilia upande wa gari zinakotokea shida kweli Sasa hivi inatakiwa kuangalia mara tatu tatu unapovukanbarabara sio kuandalia upande mmoja tu
hizo ni hoja dhaifu za wanasiasa uchwara kuhalalisha yaoSasa sii bora hilo. Ebu fikiria hawa vijana wangekuwa hawana bodaboda sii ndio wamebaka mama nandada zetu humu mtaani.
Ndio ukweli sio hoja uchwara weyehizo ni hoja za wanasiasa uchwara wanapotaka kuhalalisha yao
unaenda jimbo gan 2025 kiongozi?šNdio ukweli sio hoja uchwara weye
hebu ni quote kwenye ule uzi wako kuhusu viongozi wa dini na manabii wa uongo. Nimeshindwa kuupata.
Kinoleunaenda jimbo gan 2025 kiongozi?š
š¤£na kupiga hoiššškuwasha taa tu ili kuomba
ntaomba niwe mhazini a.k.a mbeba maokoto wa kampeni zakoš¤£Kinole
Unakaribishwantaomba niwe mhazini a.k.a mbeba maokoto wa kampeni zakoš¤£
Vipi madereva wa mabasi wanavyoendesha rafu hawajajifunza?Kwa kawaida udereva unahitaji mafunzo kabla ya kuingia barabarani vinginevyo utakutana na ajali kila wakati.
shukrani nimeupitia.Mitume na manabii wa kileo ni viumbe waliojaa, ghiliba, uroho ubinafsi na uchoyo uliopitiliza
Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza. Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na kufuru ya pesa. Wanashindana kuvaa mavazi ya bei ghali Wanashindana kumiliki magari ya kifahari na ya...www.jamiiforums.com
kuna wachache wanaojitambua ila wanaharibiwa na hao wapmbav walio wengiWengi wao ni form six & four leavers ndo maana hawanaga akili
umesema vzuriJifunzeni kuheshimu kazi za watu, msipende kujudge, kudhihaki na kutusi kazi fulani kwa kuangalia kundi dogo.
Wapo boda waruru na hovyo pia wapo boda makini na wastaarabu, kama zilivyo kazi nyingine.
Tukubaliane kwamba katika kila kundi la kazi au fani flani kuna kundi la watu makini na kuna kundi la watu wa hovyo, hivyo kukutana na mtu wa hovyo katika kazi haimaanishi kuwa wote ndio wako hivyo.
Nazungumza haya maana kuna bodaboda kadhaa ninao fanyanao kazi ni watu makini na wanaojielewa, miongoni mwao wamejenga na kuanzisha biashara nyingine kupitia boda.