KERO Bodaboda wa Tanzania wameshindikana kwa tabia zao barabarani au wameendekezwa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Bodaboda wameshindikana wapo rafu sana wanapita kushoto mwa magari hawajari usalama wao wanasababisha ajari nyingi sana barabarani kwa kifupi hawa jamaa ni kero kubwa sana,unavyoendesha gari adui namba Moja barabarani ni bodaboda.
Sasa sii bora hilo. Ebu fikiria hawa vijana wangekuwa hawana bodaboda sii ndio wamebaka mama nandada zetu humu mtaani.
 
Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya.

Ni kama wana utawala wao wapo dunia yao isiyo na sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea wengine kwa mbele kwa kisingizio cha wana haraka.
Unaweza vuka Barbara kutoka kushoto kweenda kulia na kushoto gari zinaenda juu wakati kulia gari zinaenda chini wakati unavuka unashangaa boda boda anatoka chini kuja juuu kwa njia ya kulia ambayo gari zinatoka juu kuja chini wewe mawazo Yako yanaangalia juu ile unapaita unashangaa umepulizwa au kukwanguliwa kwa mbali ukicheki ni boda kaingilia upande wa gari zinakotokea shida kweli Sasa hivi inatakiwa kuangalia mara tatu tatu unapovukanbarabara sio kuandalia upande mmoja tu
 
yani hawa jamaa ni sheeeda wanafanya udereva kuwa mgumu sana yani wkt mwingine ni km wew ndo unawatafuta wao wako wapi uwakwepe kabla hawajakuletea mabalaa.
 
hebu ni quote kwenye ule uzi wako kuhusu viongozi wa dini na manabii wa uongo. Nimeshindwa kuupata.
 
Wanachonifurahisha wao wanajua kuwasha taa tu ili kuomba apite huku akiwa mwendokasi hatari..ukiwauliza wanakowahi hata hakuna atakachojibu zaidi ya kukushangaa tu.
 
Jifunzeni kuheshimu kazi za watu, msipende kujudge, kudhihaki na kutusi kazi fulani kwa kuangalia kundi dogo.
Wapo boda waruru na hovyo pia wapo boda makini na wastaarabu, kama zilivyo kazi nyingine.

Tukubaliane kwamba katika kila kundi la kazi au fani flani kuna kundi la watu makini na kuna kundi la watu wa hovyo, hivyo kukutana na mtu wa hovyo katika kazi haimaanishi kuwa wote ndio wako hivyo.

Nazungumza haya maana kuna bodaboda kadhaa ninao fanyanao kazi ni watu makini na wanaojielewa, miongoni mwao wamejenga na kuanzisha biashara nyingine kupitia boda.
 
umesema vzuri
walio makini wapo ila ni wachache
 
Back
Top Bottom