Bodaboda za CCM zenye "chata" ya Samia ziko mtaani

Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.

CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Nani atapanda hii labda tu washirika wa wauza bandari , siwezi panda upumbavu huu
 
Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.

CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Kha
 
MBONA MAMA ANA UPIGA NWINGI KAMPENI ZA MAPEMA ZA NINI?
 
Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.

CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Pesa za wajinga zinachezewa kweli kweli. Kwani kampeni zimeanza?
 
Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.

CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863

Mtu ashapata tenda hapo
 
Mwarabu kamwaga pesa.

Tutaona na kusikia mengi mwaka huu
Haters Wa Mama Hatarini Kujifungua Kabla ya Wakati!!

Haiyumkini hali si shwari tena kwao; kila sekunde, kila dakika, kila wiki......yaani 24/7 ni habari za maendeleo tu nchini hapa.

Ukienda kule unakuta wananchi wanachekelea barabara; ukija huku unawakuta wanachekelea maji.

Ukienda kuleee wanachekelea afya; ukizunguka huko wanachekelea mashule.

Ukienda kuleeeeeee wanachekelea vyote; ukikimbilia hukoo wanachekelea madaraja.

Ukienda kuuleeeeeeee wanachekelea uhuishaji wa bandari zao ndogo za uvuvi, ukirudi hapa unakutana na vicheko vya ufikaji wa mapema wa pembejeo.

Ukienda kuuuleeeeeeeee unawakuta wanachekelea bei nzuri ya ufuta, ukirudia kule tena unawakuta wanachekea bei nzuri ya korosho na mipango mizuri ya BBT.

........hali ipo hivyo kila unakozunguka; IMANI kubwa kwa mama!!

Haters hawapendi, hawaridhiki, hawatamani!

Kwanini sasa hawa haters watajifungua kabla ya wakati?

Kwa mujibu wa Dr Janabi, hisia hasi (evil thinking) husababisha misuli ya mfuko wa uzazi kulegea na hivyo kuruhusu kilicho ndani kutoka. Anaendelea kusema Dr kuwa hata mwanaume akiwa hater asiyejielewa nae anaweza tu kupata mimba na kukabiliwa na the same case.....
Tuwaombee hawa haters......hawajui walitendalo!!
 
Back
Top Bottom