Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #61
Dada, acha uchokozi hahaha wako wengi Sasa hiviKweli muda unaenda shkamoo kaka stroke 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada, acha uchokozi hahaha wako wengi Sasa hiviKweli muda unaenda shkamoo kaka stroke 🤣🤣
Hahahaha KWELI Ndugu yanguChadema wakiweka picha ya Lissu polisi watakurupuka usiku wa manane na bukta wakiita press conference kupiga marufuku.
Duh huyu mpagaji kamchejia mwenyeyumba ,ndio maana tunashauria mpagaji mkataba ukiisha hata kama anakulipa vizuri mfukuze atafute pakwenda asizoee nyumba yako kuna siku ataipigia hesabu ya kuichukua, hili ni funzo.
Kwa tume huru ya uchaguzi sa100 hawezi kushinda uchaguzi labda Jecha afufuke kuusimamiaKampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Tulidai ndio maana akawa anatembeza mapanga na marisasihiyo katiba mbona hamkuidai wakat wa jiwe wenu. wajinga sana nyie sasa hiyo katiba hamna tena tuone mtafanyaje
😅😅😅Kwa tume huru ya uchaguzi sa100 hawezi kushinda uchaguzi labda Jecha afufuke kuusimamia
Lakini halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
CCM Kwa motooooooLakini halitasalia jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.
Una kadi? HahahaZinapatikana wapi boda hzo na mimi nikajipatie mgao wangu wa DP wedi
Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Mungu anawaonaHiyo pichana hiyo bendera ingekuwa ya chama fulani, ungesikia tume ya uchaguzi /msajili wa vyama anawahita ofisini kujieleza kwa nini wameanza kampeni mapema kabla ya wakati kufika.
Lakini wao wakifanya hivyo, watasema wanatekeleza ilani ya chama chao
Ongeeni mtavyoongea nyie chadema kuchukua nchi msahau pwagu nyieKampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Pwagu ni wewe, mbuzi pori weweOngeeni mtavyoongea nyie chadema kuchukua nchi msahau pwagu nyie
Hii kitu nimeipendaHahahaha KWELI Ndugu yangu View attachment 2695959
Hahaha hiyo wahuni tunachukua tunaweka ma cover tu kiroho safiYaani ukisikia mtu anaharibu biashara yake basi uingie kwenye ujinga kama huu,sitakuja panda bodaboda kama hiyo hata kwa bure
Haya sasa.Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.