4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Nani atapanda hii labda tu washirika wa wauza bandari , siwezi panda upumbavu huuKampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Hawa ccm wanauza nchi ili wanunue bodada?
Ataunda tume huru itamtolea wapi kura za wizi?Huyu mamatumepigwa. Na kwa mwendo huu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi tusahau
Ili ajipake wanjahao bodaboda wamepewa mikopo pia wapo wasanii kwa ajili ya kampeni ya 2025 kwa akili nyepesi badala ya kumshugulikia nchi yeye anawaza kuendelea kukaa ikulu
KhaKampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
MBONA MAMA ANA UPIGA NWINGI KAMPENI ZA MAPEMA ZA NINI?Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Pesa za wajinga zinachezewa kweli kweli. Kwani kampeni zimeanza?Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Aisee kwanini mama asijikite kuwatumikia wananchi kwanza? Hivi huyu kuanza Kampeni kabla ya muda si ni kuvunja Sheria ya uchaguzi?MBONA MAMA ANA UPIGA NWINGI KAMPENI ZA MAPEMA ZA NINI?
Kweli muda unaenda shkamoo kaka stroke 🤣🤣Tusizipande hizo makitu.
Tukiziona tukae nazo mbali.
Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.View attachment 2695863
Haters Wa Mama Hatarini Kujifungua Kabla ya Wakati!!Mwarabu kamwaga pesa.
Tutaona na kusikia mengi mwaka huu
hiyo katiba mbona hamkuidai wakat wa jiwe wenu. wajinga sana nyie sasa hiyo katiba hamna tena tuone mtafanyajeHuyu mama tumepigwa. Na kwa mwendo huu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi tusahau
Kama umesema wewe mimi ni nani hata nipinge.Nadhani kuna mchezo unachezwa ndio wakati Ule mzee Mwinyi Ruksa akasema " maji yamekorogeka unaweka Picha za nini?"
Mama awe makini na Siasa za CCM Maslahi!